Tungo tata!

Jakubumba

JF-Expert Member
Mar 5, 2011
1,624
500
Wakuu hebu tujikumbushe tungo zenye utata katika lugha yetu nzuri ya kiswahili,,,,,hii inamana kuwa unawseza kuwa na sentensi moja yenye maana zaidi ya moja. Hizi tungo ni za zamani sana hivyo mwenye tungo za siku hizi zenye utata pia aziweke hapa na atupe maana yake tuendelee kukikuza kiswahili.

Mfano...1.juma amelalia mkaa!
Utata. Juma amelala juu ya mkaa
juma amekula mkaa kama chakula cha usiku

2.chausiku amekuja
utata. Chausiku(kitu cha usiku) kimekuja
chausiku(jina la mtu) amekuja
 
Back
Top Bottom