Kupiga mbizi, sahihisho.

LE GAGNANT

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
1,241
251
Waziri magufuli alisema "watakaoshindwa kulipa nauli ya kivuko wapige mbizi kueleke upande wa pili" .

Alikosea! Maana ya kupiga mbizi ni kuzamia majini (kizungu'dive').

Neno sahihi ni kuogelea (kizungu'swim')
 
Hakukosea...alikuwa na maana hiyo hiyo ya kupiga mbizi yaani ku-dive ili uibukie ng'ambo ya pili kama anavyofanya mnyama kiboko. Alijua kuwa kama angeruhusu kuogelea kikawaida, pangetokea usumbufu na hata ajali kwa kugongana na meli au boti zipitazo pale. Lakini kwa kupiga mbizi chini kwa chini kama kiboko na kuibukia upande wa pili kusingeleta usumbufu kwa watumiaji wengine wa bahari. Na ndiyo maana yule kijana aliyeogelea kikawaida alikamatwa kwa kushindwa kutekeleza agizo ipasavyo.
 
Back
Top Bottom