Ipi sahihi ktk kiswahili sanifu.kati ya thumni au sent hamsini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ipi sahihi ktk kiswahili sanifu.kati ya thumni au sent hamsini?

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Collins, Jul 28, 2012.

 1. Collins

  Collins Senior Member

  #1
  Jul 28, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mnisaidie
   
 2. M

  Maamuma JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 856
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Zote ni sahihi. Tofauti yake ni kwamba thumni ni sarafu moja yenye thamani ya senti hamsini. Kwa hiyo senti hamsini inaweza kuwa katika sarafu moja (thumni) au sarafu nyingi zenye thamani ya jumla ya senti hamsini. Inaweza kuwa sarafu tano za senti kumikumi au sarafu kumi za senti tanotano au sarafu hamsini za senti mojamoja.
  Nadhani nimeeleweka.
   
 3. Adharusi

  Adharusi JF-Expert Member

  #3
  Aug 5, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 10,635
  Likes Received: 3,017
  Trophy Points: 280
  Umetisha jembe
   
Loading...