Msaada jamaniiiii

Duzente Siqwente

JF-Expert Member
Aug 6, 2012
265
59
Wadau naombeni kujua maana ya ''ABROAD'' kwa mapana zaidi plz wa jf kuna mabishano yanaendelea hapa almanusura zipigwe
 
Bdo kidogo zipigwe hapa kuna mabishano naombeni msaada wa kudadavua kwa mapana hili neno ABROAD
 
Hukupata jibu..........au umeghairi.....navojua mimi ni "NJE YA NCHI YAKO UNAYOISHI"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom