Habari wana jamvi, naomba nisaidiwe maneno haya mawili yanavyotaitwa kwa kiingereza au kwa majina ya kibaologia
1. Mibono
2.Minyonyo
Natanguliza shukrani zangu za dhati...
Forever is a word we use to dream, we think It will never end, It will always be the same, but the act of forever in and of itself disallows forever to actually exist
Habari WanaJF?
Nimekuwa nikiona jamii ya watu wenye ulemavu wakikataa kutumika maneno ya Kiswahili katika ulemavu wao kwa madai kuwa yanaonyesha dharau kwao. Nimejiuliza sana kwa nini iwe ni...
Kwa muda sasa nimekua nikisikia watu mbali mbali wakisema 'mtu anapewa au anatunikiwa tunzo fulani'. Mimi kwa uzoefu wangu najua kwamba hilo neno ni Tuzo, lakini sasa kutokana na watu wengi sana...
Msaada kwa mdau yeyote mwenye kamusi softcopy either pdf format au link ya page yenye translation kutoka Kiswahili kwenda Kiingereza. Kwa ufupi Swahili - English dictionary.
Thanks in advance
Arabic uses 28 different consonants, and each consonant is represented by a different letter.
Because the Arabic alphabet is written in cursive, most of the letters connect with each other. For...
Wasalamu salimini, natumaini mu kheri,
Swali hili si la dini, ninauliza shauri,
Limezonga akilini, nshachoka kufikiri,
Mume akipata jiko, mke amepata nini?
Tangu enzi na enzi, hii kauli si...
Ninauliza kwanini, aliyeanzisha nani?
Asiyefanya ni nani, na ukifanya kwanini?
Mtu kuuliza nini, atakayejibu nani?
Unapokula dagaa, kwanini uzihesabu?
Na. M. M. Mwanakijiji (Sauti ya Kijiji)
Safarini
Tupia maneno mawili ya kiingereza ambayo karibu yanatamkika sawa japo maana na tarakimu zake ni tofauti.
1.Seat,sit
2.No,know
3.Leave,live
4.Eat,it
5.Calm,come
Endelezeni hapo wakuu..