King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,679
- 94,579
Umofia kwenu wana JF,
Ukifungua redio hizi zetu yani kila mtangazaji akiongea neno moja la pili basi ni Amazing. Utasikia "Leo kuna kimvua flan hiv na kibaridi amazing", au "Wimbo wako nimeuelewa una mistari flani hiv amazing".
Hivi hakuna neno mbadala la kiswahili linaloendana na hiyo lugha ya kigeni? Wengine wanaliweka hata pasipostahili..