Maana ya neno Tasnia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maana ya neno Tasnia

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Amavubi, Dec 30, 2011.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,474
  Likes Received: 4,752
  Trophy Points: 280
  Wadau


  Nasihi Mnisaidie
   
 2. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Haina tofauti na kusema field in English..!?
   
 3. b

  bonafide. Member

  #3
  Dec 30, 2011
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  simply,ni "nyanja"eg wabongo weng wamejikita ktk tasnia ya filamu/bongofleva=wabongo weng wamejikita ktk nyanja ya filamu/bongofleva.
   
 4. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #4
  Jan 1, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,474
  Likes Received: 4,752
  Trophy Points: 280
  shukrani wote
   
 5. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #5
  Jan 1, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Tasnia ni FIELD kwa kiingereza. Mfano, wadau wote wa tasnia ya uhandisi wanaalikwa kwenye maadhimisho ya miaka 10 ya Bodi ya Usajili wa Wahandisi.
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Jan 1, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Tasnia pia ni kama Fani
   
 7. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #7
  Jan 1, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Tasnia= Industry
   
 8. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #8
  Aug 14, 2015
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,209
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Nimeona gazetini tangazo la Bodi ya Korosho, wameandika .....TASNIA YA KOROSHO...
  Binafsi natatizika kidogo na matumizi sahihi ya neno hili.
   
 9. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #9
  Aug 17, 2015
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Tumekosa neno la Kiswahili la kufafanulia?
   
 10. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #10
  Aug 18, 2015
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Tasnia ni jumla ya rasilimali na watu wanaozalisha, wanaonunua, wanaonufaika na wanaosaidia mrengo fulani wa huduma/kazi/taaluma.

  Kwa mfano tukisema tasnia ya filamu tunamaanisha wazalishaji, wateja, wasambazaji, serikali pamoja na rasilimali wanazotumia kuzalisha, kusambaza na kufikisha bidhaa ambayo ni filamu.
   
Loading...