Haramu = Illegal/Forbidden

Haramu = Illegal/Forbidden

bnhai

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2009
Posts
2,846
Reaction score
2,402
Ndugu wadau wa lugha, kuna hili swala la illegal immigrants kuitwa wahamiaji haramu kwa lugha ya Kiswahili.

Nadhani kinyume cha haram ni halali. Kwahiyo dhana ya kuwaita watu hawa haramu ni kutowatendea haki. Lazima liwepo neno lenye kufanana na illegal na si unyanyapaa wa haramu. Bora wahamiaji wasiokubalika/wazamiaji/wasio na vibali lakini si unyanyapaa wa haramu.

Nawasilisha!
 
Nadhani uharamu wao ni kwa sababu ya kutokufuata utaratibu rasmi: Halafu haya maneno tu... Yasikutishe!
 
Back
Top Bottom