Nini maana ya neno hili?

Nini maana ya neno hili?

Joined
Jan 24, 2015
Posts
73
Reaction score
24
Habari za mihangaiko ya maisha ndugu zangu wana JF?

Tangu hili neno lisemwe kumekuwa na mengi.Naomba kujua maana ya neno lofa na asili yake ni wapi maana nilipokuwa mdogo nililisikia sana na sasa limekamata kasi tena.
 
Mtu masikin asiyekuwa na mbele wala nyuma yupoyupo tu
 
Habari za mihangaiko ya maisha ndugu zangu wana JF?

Tangu hili neno lisemwe kumekuwa na mengi.Naomba kujua maana ya neno lofa na asili yake ni wapi maana nilipokuwa mdogo nililisikia sana na sasa limekamata kasi tena.

Asili yake ni Lord Lofa
 
lord lofa ni inanikumbusha katuni moja ilikuwaga kwenye gazeti la sani ikimaanisha "mtu hovyo kabisa"
 
Lord Lofa Hii katuni ni ya siku hizi. Hili neon kwa mara ya kwanza nililisikia kwenye nyimbo za dansi kutoka Kemny. ' Nilkutana na Mlofa mmoja' Hizi nyimbo a.k.a zilipendwa zilikuwa zinaimbwa miaka ya 70 kama zilipendwa. Hili neon lilikuwa linatumika sana Kenya na watu wa Zamzni wanalifahamu zaidi no wonder BM alilitumia. Mtu asiye na hali, hajielewi. Si neon zuri kwa kweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom