Kipepsi kwa Kiingereza

Kipepsi kwa Kiingereza

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,410
Nahitaji kujua kwa kiingereza neno kipepsi (kiwiko). Hatimaye unisaidie kuunganisha sentesi hii kwa kiingeleza "Joni alimpiga kipepsi Danny"
 
Bangi mbaya sana...mnafaa kuwa wabunge wa ukawa
umeleta swali,watu tumejipinda kukupa majibu mujarabu,utatutukana.asante mkuu,shukrani ya punda ni teke."the gratitude of a donkey is a kick".
 
Ni "Joni elbowed Danny" au "Joni struck Danny with his elbow" na kama Danny nae alirudishia hicho kipepsi itakuwa "Danny elbowed Joni back".
 
Nahitaji kujua kwa kiingereza neno kipepsi (kiwiko). Hatimaye unisaidie kuunganisha sentesi hii kwa kiingeleza "Joni alimpiga kipepsi Danny"

Elbow - kiwiko
John punched Danny with a fucking elbow.
 
Unatukana watu kwa misingi ipi wewe mtoa mada? Mambo ya ukawa yamefikaje hapa?
 
Back
Top Bottom