Naomba maana za haya maneno "yechu" "yechu" na "kwa fasi duasi"
Nimekuwa nikiyasikia kitaa na kwenye Radio stations!!
mafrekeche wizee...
huku mbeya wanawakubali sana machalii ya R
Tatizo la hawa jamaa ukiwazingua hawachelewi kukupiga shoka la shingo![]()
Nyie ni aje ni aje......mbona mnataka kuleta marinjirinji..........
Nyie ni aje ni aje......mbona mnataka kuleta marinjirinji..........
Tatizo la hawa jamaa ukiwazingua hawachelewi kukupiga shoka la shingo![]()
Papaa mafido.