Kila nyakati katika historia inapita, Ina uthamani wake na ina utofauti wake. Nyakati moja inaweza ikawa ndio mwanzo katika mabadiliko kwa nyakati nyingine ya kibinadamu, kiutawala, kiuchumi...
Sote tumekuwa tukisikia na kutumia jina KAMANDA, Je nini maana yake? na ni nani hasa walengwa wa matumizi ya neno hilo?
Je ni sahihi kulitumia neno hilo nje ya matumizi yake?
Kama kuna mbadala wa...
Up held ni neno gumu kwa wa Tanzania, baada ya kuangalia matangazo ya TV za Kenya zilionyesha kuwa uchaguzi wa Kenya umekuwa up held, wa Tanzania wengi ama kwa kutokufahamu ki english, kulitokea...
Wadau hali vipi?Poleni kwa majukumu ya kila siku.
Moja kwa moja nawasilisha swali ambalo kwa muda sijapata jawabu lake.kuna huyu msemo ambao wanamuziki wanapenda kuutumia sana "kumwaga radhi"...
Kila kunapokucha kiswahili kinasisitizwa sana kiwe lugha ya kufundishia kuanzia la kwanza hadi chuo kikuu,
Hiki kiswahili kitakupeleka wapi? Ili hali hata masomo ya art yameshapuuzwa? Wanafunzi...
Heri,
Katika mapambano yangu yaku pata elimu somo la Kiswahili lilikua changamoto kwangu. Hivyo najifunza kila siku.
Nini tofauti yake? " Kiswahili " na "Swahili".
Wageni kutoka nje wata...
Ninge penda kujua hili neno mitale na midimu, lina maana gani? kwa wasukuma. nalisikia sikia tu lakini sijui maana yake, pia kwa wa swahili mnao lijua maana yake, naomba kuwasilisha.
Ninakumbuka hivi karibuni nilileta uzi wa kutaka kujuzwa njia rahisi ya kuweza kuzungumza lugha ya kingereza baada ya wadau kuchangia uzi huo miongoni mwao walishauri kwamba ni lazima kuweza...
Habari GTs,
Naomba kujuzwa maneno: Zwazwa na hewallah yana maana gani nimekuwa nikikutana nayo kwenye maandishi JF lakini sielewi maana yake naomba kujuzwa.
AHSANTENI
Salaam wana JF
Hivi kiswahili chetu kinaelekea wapi?
Naona kadri siku zinavyozidi kwenda inaibuka misamiati ya ajabu ajabu hasa kwenye upande wa kiswahili cha kuandikwa
Kuna hili neno "MUDA"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.