Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Kwanza, anza kwa kupata introduction. Tembelea hapa au hapa. Pili, Kama huna uwezo wa kununua courses zilizo kwenye links za introduction, unaweza kuzi-download hizo course kutoka links za...
2 Reactions
17 Replies
6K Views
NISHAFUTA NAMBA YAKO 1)Natazama namba yako,simu haina thamani Mi sipo moyoni mwako,namba yako sa ya nini Nafata kauli yako,ulisema mdomoni Sitaki upige tena,nishafuta namba yako. 2)Kumwacha...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
1)Mapenzi ni kuyaenzi,upate ane kupenda awe ndio wako mwenzi asoweza kukutenda, Mwili ulintia ganzi,ukamua mbali kwenda Usinisumbue tena,nimeshapata mchumba. 2)Mwana huyo ni mzuri,*****...
0 Reactions
1 Replies
748 Views
Habari,wataalam wa lugha mtudadavulue.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
The 6 most spoken language in Africa 1) Kiarabu 200 Million 2) Kiingereza 150 Million 3) Kiswahili 140 Million 4) Kifaransa 115 Milliion 5) Hausa 50 Million 6) Amrik 25 Milion
5 Reactions
325 Replies
41K Views
Wadau Hayo maneno mapya hapo chini nimeyapata kupitia taarifa kuhusu uteuzi wa VC mpya UDSM " The (Valediction & Investiture) of the outgoing and incoming Vice Chancellor will be held on...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mpwa wangu Imeshapita miaka, toka liposhika peni. Lile jambo silotaka, naona lipo mezani Mtunzi atiririka, kwa beti zisizo kifani Kijana mwana wa kaka, Tanga wenda fata nini? Yanishangaza barua...
2 Reactions
13 Replies
5K Views
Kwa muda mrefu nimekuwa nikimuona lemutuz akiongeza chumvi katika post zake za insta na kumuita mkuu wa mkoa wa dar fidel marshal Je ni sawa hii? Anaendana na fidel marshall kweli?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
SIASA ZA KITOTO 1)Zimepitwa na wakati,syasa za kutukanana zinapoteza bahati,siasa za kulumbana zatuweka hati hati,siasa za kugombana hizi syasa za kitoto,ni lini mtaziacha 2)Mitandaoni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NAMPENDA MWANAJESHI 1)Mzuri anapendeza,sura ye yanivutia nawaza kama ntaweza,ukweli kumuambia naota anikimbiza,bunduki anashikia Ukweli bora eleza,akili yaniambia nampenda mwanajeshi,naogopa...
0 Reactions
0 Replies
690 Views
Kama mtu aliyekulia nje na mwenye nia ya kuboresha Kiswahili changu, si nikaamua ninunue novels za Kiswahili ili zinisaidie. Yaani nimefungua tu ukurasa wa kwanza nikakutana na hilo neno hapo juu...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Wakuu habari za jioni!.. Nina tatizo ambalo lanisumbua kuhusu logging in ktk account yangu ya jamii forum kwa kutumia PC yapa 2 months kwa sasa.. Mwanzo niliongeza security ya account yangu kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wajuzi wa lugha ya kiswahili naomba mnifafanulie maana ya haya maneno.takatifu na tukufu.natanguliza shukrani.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
The map below shows how long it takes to learn almost 70 different languages, estimated by the Foreign Service Institute, which teaches these languages to would-be or current diplomats. Countries...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimemsikia kamanda siro akiongelea swala LA police kufyatua risasi dhidi ya ukaidi Wa malima. Jamani kama hatujui kingereza bora tukae kimya. Ametamka neno "cowardnes" hakuna hill neno alipaswa...
7 Reactions
50 Replies
8K Views
Mtu aliyenusurika na ajali ni sahihi kumuita "mhanga wa ajali"?
1 Reactions
7 Replies
8K Views
Kishtobe Sakala Mento
0 Reactions
170 Replies
36K Views
Habari za majukumu wakuu nimesomea korea kaskazini miaka mitatu lugha yao mimi ndio nikawa genus wa korea kaskazini sasa nimerudi tanzania kuja kuchukua kozi ya kiswahili tena maana nimeanza...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Kiswahili kina changamoto usipo jifunza kila siku utashangaa hata wewe mzawa kina kushinda. Kuna utofauti gani kati ya meneno haya . Kunenepa naku nawili. Karibu!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari ya leo wataalamu wa Kiswahili. Leo asubuhi nimemsikia Mwanazuoni mmoja wa Kiswahili ambaye hushirikiana na Radio Clouds akisema kwamba neno "Sitirifu" maana yake hali ya usiri. Binafsi...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Back
Top Bottom