Nitawafanzia kazi, kubomoleshwa...misamiati mipya katika siasa za Tanzania

Ki Mun

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
3,443
4,384
Hivi ni sahihi kwa kiongozi yeyote yule kupotosha lugha? Au ndo anaikuza labda tuambiwe...mara "nawafanzia" kazi, mara "kubomoleshwa", hii misamiati iko kwenye kamusi ya TUKI?
 
Back
Top Bottom