Kamusi ya kichaga cha Marangu kwenda kiswahili

LENGISHO

Senior Member
Sep 15, 2017
169
245
Aichi—Anajua

iachikyia--Kujenga

Ichele—Kichaga

Ichondi- --- Kondoo

Iikyelyia—Kuogelea

Ikawilyia—Kupalilia

Ilyingoi---Jogoo

inyi—Mimi

Ipalipali- --Bahari

Ipore---Yai

Irikoso—Taji

Isewa—Kibuyu

Itukuo—Kushangaa

Iwuwu—Kuona makengeza

Iyesho---- Majaribu

Kiamba---Shamba

Kyasaka—Ugenini (Mswahili)

Kyiaatyi—nafasi

Kyo_kyimaryu—Ndiyo sababu

Kyuwere—Kumebakia nafasi ndugu

Lakucha—Usiku mwema

Linyala—Kuzarau

Maakulembecherye—Unafiki

Mapore—Makande

Mapuchi—Mawingu

Masaanga—Mataifa

Matu matu—Tafadhali

Mbuya---Rafiki

Mchola--Kichochoro

Mkuuchu—Kiburi

Mkuuma---Upepo

Mlenya—Mchanga

mmesa—Adui Mtiima—Giza nono

Mmmbaryi—Jua

Momrasa—Jirani

Momu- hori la ng’ombe

Msasariko—Masazo

Msotsa---Kushuka

Na-Ngoseraa—Na zaidi

Ndekye—Ndege

Nduwa-- Dimbwi

Ngambura--kipande cha nyama

Njoonyi—Ngozi

Nyi Kryirumi—Ni Utukufu

ote=hapana

Parapara—barabara

Pfinya—Nguvu

Rumbu—Mdomo

Sera’—Mgomba mchanga

Shira’—vita

Tao—Ng’ombe jike

Tikira- sogea

ukou=Jana

Ulakuso—Tafadhali

Ulowo—Habari

Unga—msoo

Unyamari’—Dhambi

Ushanguny—Usoni

Walutsa—Geuza

Wanda—chini
 
Umejitahidi, Ila kuna mengine umechapia, Mapore-makande?? Wamarangu hawana asili na makande hivyo hawana kichagga cha makande, wao Wana ngararimo, Mahindi hupikwa mazima yanatiwa magadi yanachanganywa na maharage . Kisagha- kibuyu, ichele- sijui ulimaanisha nini, kileye-ndege (si ndekye) nakupa 75%pass. Umejitahidi Ila ongeza bidii.
 
Umejitahidi, Ila kuna mengine umechapia, Mapore-makande?? Wamarangu hawana asili na makande hivyo hawana kichagga cha makande, wao Wana ngararimo, Mahindi hupikwa mazima yanatiwa magadi yanachanganywa na maharage . Kisagha- kibuyu, ichele- sijui ulimaanisha nini, kileye-ndege (si ndekye) nakupa 75%pass. Umejitahidi Ila ongeza bidii.
Ndekye ile ya mzungu
 
Wamarangu na Warombo ndoo wameharibu kichaga . Sasa hicho ni kichagga au kimasai au kikikuyu?
 
Aichi—Anajua

iachikyia--Kujenga

Ichele—Kichaga

Ichondi- --- Kondoo

Iikyelyia—Kuogelea

Ikawilyia—Kupalilia

Ilyingoi---Jogoo

inyi—Mimi

Ipalipali- --Bahari

Ipore---Yai

Irikoso—Taji

Isewa—Kibuyu

Itukuo—Kushangaa

Iwuwu—Kuona makengeza

Iyesho---- Majaribu

Kiamba---Shamba

Kyasaka—Ugenini (Mswahili)

Kyiaatyi—nafasi

Kyo_kyimaryu—Ndiyo sababu

Kyuwere—Kumebakia nafasi ndugu

Lakucha—Usiku mwema

Linyala—Kuzarau

Maakulembecherye—Unafiki

Mapore—Makande

Mapuchi—Mawingu

Masaanga—Mataifa

Matu matu—Tafadhali

Mbuya---Rafiki

Mchola--Kichochoro

Mkuuchu—Kiburi

Mkuuma---Upepo

Mlenya—Mchanga

mmesa—Adui Mtiima—Giza nono

Mmmbaryi—Jua

Momrasa—Jirani

Momu- hori la ng’ombe

Msasariko—Masazo

Msotsa---Kushuka

Na-Ngoseraa—Na zaidi

Ndekye—Ndege

Nduwa-- Dimbwi

Ngambura--kipande cha nyama

Njoonyi—Ngozi

Nyi Kryirumi—Ni Utukufu

ote=hapana

Parapara—barabara

Pfinya—Nguvu

Rumbu—Mdomo

Sera’—Mgomba mchanga

Shira’—vita

Tao—Ng’ombe jike

Tikira- sogea

ukou=Jana

Ulakuso—Tafadhali

Ulowo—Habari

Unga—msoo

Unyamari’—Dhambi

Ushanguny—Usoni

Walutsa—Geuza

Wanda—chini
Mmmh! Kumbe lugha hizi zinaingiliana. Kwa mfano umesema kwa kichaga "njoonyi" ikimaanisha ngozi, sisi kwa kimasai ni "enjonyi" au pia "Tikira" sogea kwa kimasai ni "tikirai" ikimaanisha acha na "ilying'oi" (jogoo= kuku dume) kimasai tunaita" laing'ony' " ni dume kwa ng'ombe. Tuko pamoja.
 
Mmmh! Kumbe lugha hizi zinaingiliana. Kwa mfano umesema kwa kichaga "njoonyi" ikimaanisha ngozi, sisi kwa kimasai ni "enjonyi" au pia "Tikira" sogea kwa kimasai ni "tikirai" ikimaanisha acha na "ilying'oi" (jogoo= kuku dume) kimasai tunaita" laing'ony' " ni dume kwa ng'ombe. Tuko pamoja.
Ndio maana nimesema Lugha ya" kimarangu" wametohoa kutoka maneno ya kimasai hao siii wachaggha. Wachaggha ni wa uru, wa machame na wakibosho ambao wote (1) maziwa = malela (2) maji = muda (3)pombe = wari
 
Aichi—Anajua

iachikyia--Kujenga

Ichele—Kichaga

Ichondi- --- Kondoo

Iikyelyia—Kuogelea

Ikawilyia—Kupalilia

Ilyingoi---Jogoo

inyi—Mimi

Ipalipali- --Bahari

Ipore---Yai

Irikoso—Taji

Isewa—Kibuyu

Itukuo—Kushangaa

Iwuwu—Kuona makengeza

Iyesho---- Majaribu

Kiamba---Shamba

Kyasaka—Ugenini (Mswahili)

Kyiaatyi—nafasi

Kyo_kyimaryu—Ndiyo sababu

Kyuwere—Kumebakia nafasi ndugu

Lakucha—Usiku mwema

Linyala—Kuzarau

Maakulembecherye—Unafiki

Mapore—Makande

Mapuchi—Mawingu

Masaanga—Mataifa

Matu matu—Tafadhali

Mbuya---Rafiki

Mchola--Kichochoro

Mkuuchu—Kiburi

Mkuuma---Upepo

Mlenya—Mchanga

mmesa—Adui Mtiima—Giza nono

Mmmbaryi—Jua

Momrasa—Jirani

Momu- hori la ng’ombe

Msasariko—Masazo

Msotsa---Kushuka

Na-Ngoseraa—Na zaidi

Ndekye—Ndege

Nduwa-- Dimbwi

Ngambura--kipande cha nyama

Njoonyi—Ngozi

Nyi Kryirumi—Ni Utukufu

ote=hapana

Parapara—barabara

Pfinya—Nguvu

Rumbu—Mdomo

Sera’—Mgomba mchanga

Shira’—vita

Tao—Ng’ombe jike

Tikira- sogea

ukou=Jana

Ulakuso—Tafadhali

Ulowo—Habari

Unga—msoo

Unyamari’—Dhambi

Ushanguny—Usoni

Walutsa—Geuza

Wanda—chini
Naomba mniandikie whatsApp kwa namba
0763986115
 
Back
Top Bottom