Kiswahili fasaha kinatoweka

Braza Kede

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
2,289
4,419
Kwa utafiti wangu mdogo hakujawahi kutokea matumizi mabovu ya lugha ya kiswahili kama muda huu tulionao.

Kibaya zaidi hata baadhi ya vyombo vya habari vikubwa vinashiriki dhambi hii.

Maneno mazuri ya kiswahili yamepindishwa kiasi inaleta kichefuchefu hata kusikiliza. Hapa nitaweka baadhi ya maneno.

Alikuwa = alikua
Kwa hiyo = ko
Baadhi = baazi
kufanikiwa = kujipata
sasa = saivi
Ndio hivyo = ndoivo
Ndio nini = ndonini
serikali = serekali/selekale
yaani = yani
mtaa = kitaa/kitaani
kwa sababu = co

Pasipo kuchukuliwa hatua za makusudi lugha hii inaelekea kupotea.

Chanzo kikuu cha haya ni uholela wa vyombo vya habari hasa habari za mtandaoni.

Nashauri mambo makubwa mawili yafanyike kwa haraka.

Kuwe na takwa la lazima kwa waleta habari kwa jamii wote kuwa na ufaulu mzuri wa lugha hii

vyombo vya habari vyote yaani vya kawaida na mitandaoni lazima visajiliwe kwanza na mamlaka za kiserikali kabla ya kuanza kupeleka habari yoyote kwa jamii.

Tuungane pamoja kuinusuru tunu yetu kuu ya lugha ya kiswahili
 
Sio vizuri kuwa na kaida katika lugha ya mazungumzo . Lugha sanifu inaweza kutumika katika maandishi na katika maandiko rasmi. Ukiongea Kama Kiswahili kinavyotakiwa kuandikwa utaongea Kama kingereza Cha watanzania they talk like a book Yani wazungu wanashangaa Sana😆 afu utakuta lijitu linajinasibu linajua kingereza kumbe linaongea lugha ya kiuandishi😆
 
Kwa utafiti wangu mdogo hakujawahi kutokea matumizi mabovu ya lugha ya kiswahili kama muda huu tulionao.

Kibaya zaidi hata baadhi ya vyombo vya habari vikubwa vinashiriki dhambi hii.

Maneno mazuri ya kiswahili yamepindishwa kiasi inaleta kichefuchefu hata kusikiliza. Hapa nitaweka baadhi ya maneno.

Alikuwa = alikua
Kwa hiyo = ko
Baadhi = baazi
kufanikiwa = kujipata
sasa = saivi
Ndio hivyo = ndoivo
Ndio nini = ndonini
serikali = serekali/selekale
yaani = yani
mtaa = kitaa/kitaani
kwa sababu = co

Pasipo kuchukuliwa hatua za makusudi lugha hii inaelekea kupotea.

Chanzo kikuu cha haya ni uholela wa vyombo vya habari hasa habari za mtandaoni.

Nashauri mambo makubwa mawili yafanyike kwa haraka.

Kuwe na takwa la lazima kwa waleta habari kwa jamii wote kuwa na ufaulu mzuri wa lugha hii

vyombo vya habari vyote yaani vya kawaida na mitandaoni lazima visajiliwe kwanza na mamlaka za kiserikali kabla ya kuanza kupeleka habari yoyote kwa jamii.

Tuungane pamoja kuinusuru tunu yetu kuu ya lugha ya kiswahili
Lugha huzaliwa,hukua huishi kisha hufa
 
Unategemea nini wakati Tanzania failures ndiyo wanaokuwa walimu.
 
Mwanamke anayeandika
axante = asante
tantee = asante
xawa = sawa

Na mengine ya aina hiyo aise huo upuuzi siwezi kuuvumilia, imenibidi na mini niwe mpuuzi kuandika hivyo ili niwaambie.
Kuna msichana wangu hapa nyumbani anaandika hivyo akikutumia msg..ninakasirika ila basi tuu nimeamua kumuacha...maana nimejuana nae ukubwani ngoja tuu anifanyie kazi zangu...
 
Huwezi amini kuna watu ni wasomi kabisa na wengi wao hata siyo wachaga wanaandika hiyo 'mbaka', kuna maandishi unaandikiwa na msomi wa Kitanzania mpaka unakata tamaa..!!
Yah ni kweli..kuna mtu anaandika lugha ya kiswahili ambayo haieleweki mpaka unamvua vyeo..
 
Back
Top Bottom