https://youtu.be/K4wLDhyZc3M
Nimeweka hiyo santuri ya Frank Humplick kama utangulizi.
Nilikuwa napita tu mtandaoni nikakutana na hii santuri ya
Frank Humplick na dada zake wanaimba nyimbo ya...
Katikati ya misitu yenye ukimya wa kale, mahali ambapo jua la asubuhi huchomoza polepole juu ya anga la mashariki na mwanga wake wa dhahabu kugusa mawe yaliyosimama kwa karne nyingi, kuna mahali...
Njombe ni mmoja wa mikoa 31 ya Tanzania, uliorasimishwa kuwa mkoa mwaka 2012 mara baada ya kutenganishwa na Iringa inayopatikana Nyanda za Juu kusini Kwa Tanzania. Hapo awali Njombe ilikuwa ni...
Ndugu zangu wa JamiiForums,
Kuna msemo wa kale unasema, "Siku zote mdudu anayekula mti hutoka ndani ya mti wenyewe." Katika kurasa za historia ya ulimwengu, hakuna ukoloni uliowahi kufanikiwa kwa...
1. Usuli
Jumamosi mujarab ya leo, Desemba 25, 2021, siku ya Krismasi, imetimia nusu karne toka "Mnyalukolo" SAID ABDALLAH SIULANGA MWAMWINDI (42) amtangulize Mbele ya Haki, Mh. Dk. WILBERT ANDREW...
Wanabodi,
Katika karibu kila jambo, kuna mazuri na mabaya yake, kama ilivyo kwa ukoloni, japo wakoloni walitunyonya, pia kuna mazuri, walituachia, ikiwepo elimu ya kisasa, walileta maendeleo...
MFALME ALOPINDULIWA SAYYID JAMSHID
Nyerere alikua na lake moyoni (agenda ya siri)alishiriki kumtorosha huyu ili apate kui Koloni Zanzibar kwa Kisingizio cha Ubaguzi wa Kiarabu na Sultani...
Huyu ndo jamshid bin Abdullah the last Zanzibar sultan na mke wake.
Sula tu unajua huyu damu yetu kabisa 😂. Mke wake ndo kabisa . Mtoto wa tanga huyu.
Any way he is a citizen of United Kingdom...
Habari za wakati Great Thinkers wa JF...
Mheshimiwa Maxence Melo,
Waheshimiwa Moderators wote, JF Senior members, JF Expert members, New Members kama mimi, Wataalamu woooote wa masuala ya...
Mwezi huu wa Juni, Tanzania inatimiza miaka 19 tangu kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia CCM, Amina Chifupa Mpakanjia, aliyefariki tarehe 26 Juni 2007 akiwa na umri wa miaka 26. Kila...
Mwamba Anaitwa Aleister Crowley Raia wa UK. Anajulikana Kama Baba wa Uchawi. Katika Imani Yake na Waumini Wake Kulikuwa na 'Cake of Light', ni Keki Inayotengenezwa kwa Majimaji ya Sex na Damu ya...
MOHAMED MANGIRINGIRI KAMA ALIVYO NDANI YA KITABU CHA ABDULWAHID SYKES
Ofisi ya wilaya ya TANU, Tabora, sasa chini ya uwenyekiti wa Mohamed Mangiringiri, fundi cherahani aliyeajiriwa na...