Waziri Mkuu Anasema...

Waziri Mkuu Anasema...

Mzee udini utakuuwa.
[9/5, 8:22 PM] mohamedsaidsalum: 🔥 PROFESA MALIMA: SIKU ALIPOJITANGAZA KUJITOA CCM NA KILICHOTOKEA TABORA!

Miongo mitatu imepita, lakini historia ya Profesa Malima bado ina maswali, majonzi na kumbukumbu ambazo hazijafutika.

Katika simulizi hii ya kipekee kutoka Maktaba ya Mohamed Said, tunarudi nyuma kwenye historia ya miaka ya 1990 na kufuatilia safari ya Profesa Malima—kuanzia ndani ya CCM, uamuzi wake wa kuondoka, hadi kujiunga na National Reconstruction Alliance (NRA).

Lakini kilichotokea Tabora ndicho kinachofanya simulizi hii kuwa ya kusisimua zaidi.

✈️ Tiketi za ndege zilikuwa confirmed… lakini siku ya safari, Malima akaambiwa ndege imejaa.

🕌 Wakati huo huo, Tabora watu walikuwa wamejazana Msikiti Mkuu wakimsubiri Profesa Malima atangaze uamuzi wake.

👮 Askari na viongozi wa serikali wakaonekana msikitini.

🔥 Zogo likaanza.

❓ Kwa nini Malima hakufika Tabora siku ile?

❓ Nani alisababisha taarifa kwamba angejitangaza kujitoa CCM msikitini?

❓ Kwa nini mkutano wake wa baadaye Tabora ukawa mkubwa kiasi cha kutajwa kama tukio la kihistoria?

Katika kipindi hiki, Mohamed Said anaeleza pia nafasi ya Profesa Malima katika historia ya Waislamu Tanzania, changamoto alizokutana nazo, siasa za wakati huo, na msimamo wake kuhusu haki na usawa kwa Watanzania wote.

📚 Hii si hadithi tu. Ni historia ambayo inahitaji kuhifadhiwa.

▶️ Tazama video nzima, sikiliza simulizi hadi mwisho, na utuambie kwenye comments: Unamkumbuka Profesa Malima?

🔔 Subscribe kwenye KUTOKA MAKTABA YA MOHAMED SAID PODCAST kwa simulizi zaidi za historia ya Tanzania, Waislamu Tanzania, harakati za kisiasa na watu waliowahi kuacha alama katika taifa hili.

#MohamedSaid #ProfesaMalima #HistoriaYaTanzania #WaislamuTanzania #CCM #Tabora #Historia #SiasaTanzania #MaktabaYaMohamedSaid #NRA #AliHassanMwinyi #HistoriaYaWaislamu #Tanganyika #Tanzania #PodcastTanzania #IslamicHistory #AfricanHistorySEO Keywords: Profesa Malima, Mohamed Said, historia ya Profesa Malima, Profesa Malima CCM, Malima alijitoa CCM, Malima Tabora, historia ya Waislamu Tanzania, Waislamu Tanzania, historia ya Tanzania, siasa za Tanzania, CCM historia, National Reconstruction Alliance NRA, Ali Hassan Mwinyi, Maktaba ya Mohamed Said, historia ya kisiasa Tanzania.
[9/5, 8:22 PM] mohamedsaidsalum:
View: https://youtu.be/hmxO2iG65IA?si=prF9l7D35TWupEoC
 
Hili suala ni tata

1. Tunaposimama kukemea mambo machafu hatupaswi kuchagua uchafu mzuri au uchafu mbaya. Midhali ni uchafu, basi ni uchafu tu. Mohamed, wakati '' Sheikh'' Mwaipopo alipotoa kauli kwa niaba ya Waislam kuhusu umiliki wa vikosi vya Mbwa mwitu , mbona hatukona ukiitaka serikali au BAKWATA kukemea!

2. Ni kweli kwamba alichosema Mwigulu kina utata. Kutoa milioni 50 za serikali katika shughuli za dini si jambo geni. SSH alinunua magari kwa masheikh pia na amechangia kama alivyochangia Magufuli msikiti wa Kinondoni.

2b. Mwigulu kusema awekwe kwenye kamati maalumu si sahihi. Yeye ni kiongozi wao wote ni wakati gani wa Umma anaoutumia kwa shughuli za imani zake achilia mbali kwamba atakuwa na conflict of interest

2c. Mwigulu kusema ana msaidizi maalumu katika Ofisi yake si sahihi. Wapi msaidizi wa KKKT, Bohora, Ismaili, Shia, Sunni, Sabato, Pentekoste na wale wanaoamini mambo yao ya asili? Nani anamlipa huyo mtumishi maalumu

3. Mohamed anaposema Serikali na Bakwata waione fursa kuna neno hapa. Mwenye serikali ni SSH kwasababu Mwigulu ni sehemu ya hiyo serikali na hawezi kujichukulia hatua. Mohamed address hili kwa SSH bila kuzunguka zunguka, call a spade a spade

3b. Kwa miaka dahari Mohamed amewaaminisha watu kwamba Waislam hawaitambui Bakwata na si chombo kinachowawakilisha. Leo Mohamed anashauri suala hili lionwe na kushughulikiwa na Bakwata! wale wale aliotuambia hawafai, beating around the Bush ?

JokaKuu
 
Prof Malima hakuwa na impact ktk siasa za Tanganyika kama AL Mrema.

Malima zaidi ya kutembelea karata za udini kama wewe si chochote si lolote.
 
Nguruvi,
Nimewataja BAKWATA kwa kuwa ofisi ya serikali uwakilishi wa Waislamu ambao ungekubalika ni wa BAKWATA.

Sidhani kama uwakilishi wa Kanisa Katoliki Ofisi ya Waziri Mkuu ni kutoka Wanamaombi kwani hawatambuliki.
 
Wewe ni hasara kwa taifa . Mzee mzima unashabikia udini kucha. Umejaaa unafiki na chuki. Nashukuru sana Nyerere kuwa baba wa Taifa kutokana na akili za kijinga kama za kwako. Ina maana mngepewa nchi Leo mngekuwa mnapigania kuwa dola ya kiislamu. Very stupid.
 
Kukuonesha kuwa yeye sio stupid, atakuletea list ya machapisho (yakiwemo magazeti) aliyoandika 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom