Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,320
- 33,902
Halafu huyo Malima naye si alikua rafiki wa Rais aliyeko madarakani. Mohamed Said mtu wa porojo huyu, hawa wazee waongo waongo hawana la kufanya zaidi ya zumna na kujambisha. Upuuzi huu.Wewe Mzee ni muongo, tapeli na mdini. Watu kama nyie ni hasara kwa taifa. Kila saa uchochezi, Rais ni mwislamu kwanini usimpelekee hizo changamoto Kila saa kumlaumu Nyerere. Very stupid idiot.
Interested,Mambo kama haya ungeandika kabla ya Nyerere au wengine kufa ungenishawishi sana. Mnachagua muda wa kuandika.
Unasema hali za waislamu waliogombania uhuru zilikua taabani, je wakristu hali zao zilikua nzuri? Sijaona sehemu inayoishi waislamu masikini na wakristu wenye afadhali, wote taabani, si magomeni, ilala, tandika kote huko.
Uongozi na udini vitu viwili tofauti.
Tajiri ...Huyu ndio alikuwa mwasisi wa makundi ya ugaidi na udini. Akabanwa pale CCM akakimbilia kuanzisha kikundi rasmi cha ugaidi NAREA (NRA)
Interested...Halafu huyo Malima naye si alikua rafiki wa Rais aliyeko madarakani. Mohamed Said mtu wa porojo huyu, hawa wazee waongo waongo hawana la kufanya zaidi ya zumna na kujambisha. Upuuzi huu.
Mwinyi alikua swahiba mkuu wa Malima alfanya nini kumfanya abadirishe system ya Nyerere ya uonevu? Waziri wa Elimu yeye, waziri Mdogo Mayagila wote waislam kiliwashinda nini? Na baraza la mawaziri lilivunjwa pamoja na yeye.
Mmoja heart attack mwingine suicide, vifo visivyokua na utata lakini Mohamed anataka kusema waliuawa hao.
Kwa hiyo unataka kusema nchi hii ni marufuku waislam kuwa mawaziri wa wizara ya elimu?Interested,
Nimeandika kitabu kizima na kikachapwa London mwaka wa 1998.
Nilichoeleza alichoeleza Prof. Malima kiko wazi kuwa Wizara ya Elimu ilikuwa inawahujumu Waislamu.
Tusi gani nimetukana hapo, zumna na kujambisha si desturi yenu huko pwani?Interested...
Unatukana.
Kawaida yangu mtu anapokasirika hadi kutoa matusi mie hukaa kimya.
Halafu huyo Malima naye si alikua rafiki wa Rais aliyeko madarakani. Mohamed Said mtu wa porojo huyu, hawa wazee waongo waongo hawana la kufanya zaidi ya zumna na kujambisha. Upuuzi huu.
Mwinyi alikua swahiba mkuu wa Malima alfanya nini kumfanya abadirishe system ya Nyerere ya uonevu? Waziri wa Elimu yeye, waziri Mdogo Mayagila wote waislam kiliwashinda nini? Na baraza la mawaziri lilivunjwa pamoja na yeye.
Mmoja heart attack mwingine suicide, vifo visivyokua na utata lakini Mohamed anataka kusema waliuawa h
Tajiri ...Kwa hiyo unataka kusema nchi hii ni marufuku waislam kuwa mawaziri wa wizara ya elimu?
Walishindwa nini kuondoa mfumo unaowakandamiza waislam?Tajiri ...
Swali hili wa kujibu si mie.
Lakini Waziri wa Elimu wa kwanza Muislamu alikuwa Prof. Malima na aliyekuwa na Rais Ali Hassan Mwinyi.
Tajiri...Walishindwa nini kuondoa mfumo unaowakandamiza waislam?
Kanisa Katoliki lina chuki gani na Waislam? Je kwanini hawataki wapate elimu nzuri?Tajiri...
Kanisa Katoliki lina nguvu kubwa sana.
Tatizo hili halikupewa nafasi ya kujadiliwa katika mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM Dodoma.
Mwalimu Nyerere alizuia agenda hii isijadiliwe
Uamuzi ukawa kumtoa Prof. Malima katika Wizara ya Elimu.
Nimeeleza hili katika video.