Bunge na TBC Watembelea Maktaba

Bunge na TBC Watembelea Maktaba

Hongera sana Maalim Mohamed, Bingwa wa historia ya kweli kuhusu harakat za uhuru na hata Mapinduzi ya Zanzibar, nimetamani kusikia mahojiano kamili, ikiwa ndani ya uwezo wako basi utuwekee hapa InshAllah
 
Kub...
Nasubiri Bunge warushe kipindi chao ndipo nirushie changu.

Wao wanatengeneza makala kuadhimisha miaka 100 ya Bunge.
 
Gwapole,
Sadakta yaani umesadikisha.

Kama ni historia ya Dar es Salaam Maulid Committee Sykes 1926 yupo hata kama mtu hatopenda.

Kama ni historia ya African Association 1929 Sykes yupo hata kama kuna mtu inampa taabu.

Kama ni historia ya Al Jamiatul Islammiya fi Tanganyika (Umoja wa Waislamu wa Tanganyika) Sykes atakuwapo.

Kama ni historia ya TANU halikadhalika watakuwa hawa ndugu wawili Abdulwahid na Ally Sykes hata kama utayaondoa majina yao katika historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom