KITABU KIPYA: WATU MASHUHURI KATIKA UHURU WA TANGANYIKA - SALUM MPUNGA, YUSUF CHEMBERA NA PETER MHANDO KITABU CHA PILI
TANU ilikuwa na historia ya pekee sana ambayo bado inahitaji kufanyiwa...
If you love history, please make time to read this👇
The following are historical facts and nothing less, it was written without religious bias and the information given here is factual;
Zionist...
STAAJABIKA NA KIM JONG-UN (ALMAARUFU KWA JINA LA KIDUKU) RAIS WA KOREA KASKAZINI.
Kim Jong- un ni mtoto wa tano na wa mwisho katika uzao wa Kim jog-il (raisi wa pili wa Korea Kaskazini).
Kwa...
Habari wana Jamii,
Naomba kufahamu historia ya Rais wa zamani wa libya canal Gaddafi na uhusiano wake na aliyekuwa Rais wa zamani wa Algeria Ndugu Gamal Abd Nassar.
MAHOJIANO NA MOHAMED VALL WA AL JEZEERA 2007
Jana nilikuwa naangalia Al Jazeera yanayotokea Gaza mara nikamuona mtangazaji wa Al Jazeera, Mohamed Vall anatangaza habari za vita hivi.
Mohamed...
Ukisoma Historia vizuri ya Waisraeli kwenye vitabu vya Dini na historia ya kidunia utagundua waisraeli walipitia misukosuko mingi tangu kipindi cha Musa, hadi kuja kwa Adolf Hitler ambao wengi...
Katika kitabu chake cha "The life and Times of Abdulwahid Sykes (1924-1968): The untold story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika" mwandishi Mohamed Said anaangalia...
Picha zilizopo katika makala haya nilipiga Ukumbi wa Arnautoglo 1993 wakati chama cha National Emancipation Movement (NEMA) kinahakiki wanachama wake 1993 ili kupata usajili wa kudumu.
April 1953...
IJUE NCHI YA ETHIOPIA
Ethiopia ni nchi ya pembe ya afrika, ambayo imepakana na Eritrea na Djibouti kwa upande wa Kaskazini, Somaliland kwa upande wa Kaskazini mashariki, na imepakana na...
Nimesoma kuhusu kifo cha Dr. Edith Kitambi leo keshafariki muda mrefu na watu wameandika kama kumbukumbu.
Kwangu mimi ikawa ni msiba mpya na machungu yake naomboleza wakati wenzangu weshapoa...
HISTORIA YA JUMBE MWINJUMA DIGOSI, SHEIKH SULEIMAN TAKADIR NA JULIUS NYERERE 1954
Inawezekana Jumbe Mwinjuma Digosi alikuwa umri huu wa sasa alionao mwanae Zakaria huyu Mwenyekiti wa CCM Kata ya...
BARUA KUHUSU NYARAKA ZA NANGWANDA LAWI SIJAONA
Barua hizi tatu zinajieleza vizuri na zinajitosheleza kueleza tatizo linalokabili uhifadhi wa historia ya kweli ya uhuru wa Tanganyika.
Katika...
Vita ya Kagera ya mwaka 1978/79 iliyopiganwa ili kuokoa mipaka yetu ilikuwa ya aina yake.
Tulifanikiwa kushinda lakini ilituachia maumivu pengine mpaka leo.
Moja ya vivutio ilikuwa ni uzalendo...
Ni Maj.Gen.Benjamin "Ben" Msuya wakati huo akiwa na cheo cha Lt.Col.
Ndiye aliyeongoza kikosi vya JWTZ kilichotwaa jiji la Kampala.
Huyu ndiye aliyelazimika kulidhibiti jiji la Kampala na Ikulu...
Weekend Kareem wapenzi wa JamiiForums popote mlipo. Naamini mu wazima wa siha muruwa kabisa huku mkifanya tathmini ya kile mlichokifanya kwa juma zima hili.
Leo nimeleta kwenu swali juu ya Idd...
Picha hiyo hapo chini kaniletea ndugu yangu na kaniandikia maneno haya:
"Picha adimu hiyo nimekutunuku, iandikie habari."
Kulia ni Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Dr. Salim Ahmed...
NYARAKA ZA NANGWANDA LAWI SIJAONA MOJA YA VIELELEZO MUHIMU VYA HISTORIA YA TAA NA TANU
Kwa muda mrefu nimekuwa nikipokea kutoka kwa mtoto wa Lawi Sijaona, Sijali Sijaona, nyaraka moja baada ya...
Miaka ya 1800's walikuwepo ndugu wawili kwa Majina ya KEMPANJU NA KASSA, huko mkoani Kagera wilaya ya Bukoba( Misenyi kwa sasa).
Imenichukua mwendo wa lisaa kutoka Bukoba mjini mpaka kata ya...
MIMI, SAL DAVIS NA KITABU CHETU
Kwa mara ya kwanza hiki ndicho kitabu changu kilichochapwa na Amazon.
Amazon sifa zao hazihitaji kuelezwa na mimi.
Walianza na uuzaji wa vitabu na kukufikishia...
Picha hiyo hapo chini kaniletea ndugu yangu na kaniandikia maneno haya:
"Picha adimu hiyo nimekutunuku, iandikie habari."
Kulia ni Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Dr. Salim Ahmed...