Natunuku Picha Kushukuru Picha Niliyotunukiwa

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
20,918
30,259
NAMI NATUNUKU PICHA KUSHUKURU
Nimemwandikia ndugu yangu aliyenitunuku picha adimu:

"Nami nakupa picha adimu na nyongeza kidogo kukushukuru kwa hidaya uliyonipa.

Katika picha uliyonitunuku yupo Maalim Seif na Dr. Salim na yupo Hassan Nassor Moyo.

Nikisema niandike itakuwa kitabu kizima.

Maalim Seif tumejuana kuanzia 1992 na tukawa marafiki.

Nakuwekea link usome yale niliyopata kuandika kuhusu yeye.

Hassan Nassor Moyo tulifahamiana kwanza Dar es Salaam katika miaka ya 1980 kisha katika miaka ya 1990 tukawa majirani Tanga.

Nakuwekea link kuhusu Maalim Seif na Hassan Nassor Moyo.

Nakuwekea picha ya Ali Hassan Mwinyi na mimi nilipomtunuku kitabu cha Abdul Sykes Ukumbi wa Korea 2015:"

https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=1058943681519676&id=100022121633704&mibextid=Nif5oz
https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=769681820445865&id=100022121633704&mibextid=Nif5oz

1696416782838.png

1696416923557.png

1696417045388.png




 
Kitabu cha historia ya mababu zako,si historia ya Tanganyika.
Ngongo,
Babu zangu waliunda vyama vitatu African Association (Tanganyika African Association), Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika na Tanganyika African National Union.

Hii ni historia ya Tanganyika.
 
Nakuomba utuandikie kitabu cha Mzee mwinyi kwann baada ya nyerere kuwasumbua wazee wetu walomueka hapo je yeye alipokuwa rais kwann hakuwakumbuka wanavyostahili??
 
Back
Top Bottom