KIPINDI CHA RADIO KWA WANAFUNZI: VIONGOZI WA AFRIKA
Kipindi hiki akitangaza Mkurugenzi mwenyewe wa TBC Martin Kiama.
Niko Majengo Middle School, Moshi mwaka wa 1963.
Kipindi kinafunguliwa na...
Kwa kipindi kirefu kitabu cha Abdul Sykes kilikuwa hakipatikani kwa kuwa nakala zilikuwa zimekwisha (out of print).
Hiki ni kitu cha kawaida kwa kitabu kukosekana.
Kitabu cha Abdu Sykes ni...
Baadhi ya vitabu vya historia ya Zanzibar vilivyopo Maktaba
Huwa nasoma nyuzi hapa JF mtu anaandika kuwa John Okello ni Baba wa Taifa la Zanzibar.
Anaishia hapo.
Ukimuuliiza kama anajua historia...
Wakuu nawaambia Jambo Moja kabisa la UHAKIKA bila mbambamba.
SAMIA na Genge lake, wajifarague vipi, waruke, wake, wasimame ,wakimbie, wapae, yaan Hizo zote ni mbwembweeena HAZIWASAIDIII KITU...
CCM na Genge lao Wana ujinga wanauita "MARIDHIANO" .
Huuuu ujinga, ndio ambao NCHIMBI, anaupiga Vita .
Anawaambia Watanzania, 'Msiingie kwenye huo mtego'
Utangulizi
Kalamu ya Mh. Ally Saleh haiandiki bali inazungumza. Siku zote ninapomsoma Alberto siishi kushangazwa na uwezo wa fikra zake na jinsi anavyojua kuchagua maneno ya kutumia kumfanya...
Ipi ilikuwa siri iliyomzuia Salim Ahmed Salim kupata nafasi ya kuwa Rais wa Tanzania mara mbili, licha ya kuwa na wasifu (CV), uzoefu na sifa zilizotajwa kuwazidi wapinzani wake katika mchakato wa...
Yani una request halafu unaona simu inaingia mtu anakuuliza upo wapi pengine hata hiyo sehemu huifahamu au nivigumu kuwa na sehemu specific yneye jina .
Bolt andeni semina fundisheni watu wenu...
Kitendawili cha Nahashon Isaac Njenga Njoroge
Ilikuwa tarehe 5 Julai 1969. Jiji la Nairobi lilikuwa na hali ya hewa ya jua, barabara zilikuwa na pilikapilika za kawaida, na Tom Joseph...
Mohamed Said anahoji inakuwaje historia ya chama kikubwa kama TANU, kilichoongozwa na Mwalimu Julius Nyerere, imepotea kiasi kwamba waasisi wake hawafahamiki wala kazi zao hazijulikani. Anasema...
Juni 27 ni siku ya 178 ya mwaka katika kalenda ya Gregorian (au ya 179 kama ni mwaka mrefu), huku zikiwa zimesalia siku 187 kabla ya mwaka kwisha.
Katika upande wa maadhimisho na siku kuu...
KUMBUKUMBU YA KIFO CHA HASSAN UPEKA
Naweka picha nilizopiga tarehe 28 October 2010 nyumbani kwa Hassan Upeka Mwananyamala wakati wa maziko yake.
Kleist Sykes katika ''memoir'' zake alizoandika...
https://youtu.be/8DNwD9U2mks
WASWAHILI WA MAREKANI
Huyu mwandishi Nathaniel Mathews tunafahamiana na kwa kiasi fulani alikuwa kama mwenyeji wangu nilipokwenda Northwestern University...
Sherehe kubwa itakayowakutanisha Watanzania kutoka Kabila la Wangoni inakuja. Itafanyika jijini Dar es Salaam. Lakini pia watu kutoka makabila mengine watapokelewa kuhudhuria.
Sherehe hii itakuwa...
KUTOKA PEMBA: SURA USIYOIJUA YA ‘’FIELD MARSHAL’’ JOHN OKELLO
Historia ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka wa 1964 haiwezi kukamilika bila ya kumtaja John Okello.
Ukweli ni kuwa historia ya...
Kulingana na vyanzo ulivyotoa, hususan katika simulizi ya mwanahistoria Mohamed Said kuhusu kumbukumbu zake za soka, hizi hapa ni nukuu na maelezo mahususi yanayohusu Moshi:
Kuhusu Makuzi na Timu...
Kujifunza Kiswahili ugenini: "Kitu kilichonishangaza ni pale niliponiambia kuwa yeye lugha ya Kiswahili kaisoma Marekani... asema mimi nimekuja Afrika Mashariki kuja kukipiga msasa kiswahili...