Veritas Minor
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 636
- 1,003
Nasikia sauti ikiita,
Ni kwa nini, sifahamu!
Maana kama ilivyo karamu,
Kalamu huanza na huisha?
Maisha nayo yapo hivyo?
Mwanzo na mwisho ndivyo yalivyo,
Kama mtu hayo ni muhimu kukumbuka
Kwani kusahau ndipo utakapoumbuka.
Ni kwa nini, sifahamu!
Maana kama ilivyo karamu,
Kalamu huanza na huisha?
Maisha nayo yapo hivyo?
Mwanzo na mwisho ndivyo yalivyo,
Kama mtu hayo ni muhimu kukumbuka
Kwani kusahau ndipo utakapoumbuka.