LUTHERAN PRIMARY SCHOOL MOSHI KAMA ILIVYOKUWA 1950s NA SASA
Nilianza darasa la kwanza mwaka wa 1958 kwenye jengo hilo hapo chini lililokuwa ni Kanisa la Kilutheri.
Baada ya miaka mingi nilifika...
BAHASHA ILIYOBEBA KITABU KUTOKA KWA ALLY DAR ES SALAAM KWENDA KWA ALI NAIROBI
Asalaam Aleikum Warahmatullah Wabarakatuh Sheikh Salim,
Ahsante sana kwa kuniletea kumbukumbu ya Balozi Chirau Ali...
Mhando aliongeza kueleza kuwa pia alikuwa akimtambua mtu mwingine kwa jina la Piu Mtakubwa Lugangira au Father Tom na au Uncle Tom.Alimtambua ,alisema baada ya kumpeleka kwa mganga mmoja wa...
"A JOURNEY" MY LIFE, SPEECHES & WRITINGS" KUTOKA KALAMU YA JUMA VOLTER MWAPACHU
Kuna wakati naamini hata William Shakespeare alikuwa anaishiwa na maneno kalamu ikabakia inaning'inia mkononi na...
Niliwahi kusoma makala moja iliandikwa na marehemu Ali Nabwa,kwenye gazeti la dira,yenye kichwa cha habari,Zanzibar yafa dungu msokoni.
Makala hiyo ilielezea ugomvi mkubwa sana kati ya karume na...
DEJAVU: ABRAHAM LINCOLN, RAIS WA MAREKANI ALIYEOTA KIFO CHAKE
Katika historia ya dunia, kuna matukio ya ajabu ambayo yamewashangaza watu wengi. Moja ya matukio haya ni uwezo wa baadhi ya watu...
Ushahidi wa Historia Kupitia Maneno ya Kawaida
Maneno tunayoyatumia kila siku yanaweza kutufundisha mengi kuhusu historia. Mfano mzuri ni neno "algorithm," ambalo linatokana na jina la...
Wengi wanamfahamu Malkia Elizabeth II kama kiongozi wa Kifalme aliyedumu kwa muda mrefu, lakini wachache wanajua kuwa alikuwa fundi wa magari aliyepata mafunzo rasmi.
Mnamo mwaka 1945, wakati wa...
Kutana na Gazeti lililotabiri kuhusu simu kushikwa mkononi na kuwekwa kwenye mifuko
Nani anakumbuka kama Kuna siku itafika simu itaweza kuwekwa kwenye mifuko au kutembea nazo na kuwa sehemu ya...
PROF. KABUDI: HISTORIA YA WANAWAKE WALIOPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
Siku mbili hizi zimekuwa siku za furaha kwangu kwa kuona katika hadhira kubwa sana za CCM wapigania uhuru waliosahauliwa kwa...
Utangulizi
Juma Mwapachu alikuwa mwanafunzi wa shule ya msingi Nansio, Ukerewe wakati Abdul Sykes na Ali Mwinyi Tambwe walipokwenda Nansio mwaka wa 1953 kumuona baba yake, Hamza Kibwana Mwapachu...
Huyu ndie Abdulahaman Shimbo Gwiji la Vita lililoipa sifa JWTZ kimapigano nje ya nchi Comoro msikilize
https://youtu.be/d71PNHcO8sM?si=DgJ2O2LFYCYfumPQ
KUTOKA MAZIKONI: CHIRAU ALI MWAKWERE, JUMA MWAPACHU NA ALLY SYKES
Ally Sykes hakupata kunieleza kama alipata kukutana na Chirau Ally Mwakwere.
Ali Mwakwere ndiyo kanifahamisha jana tukiwa Pande...
Kuna nadharia kificho (conspiracy theory) kwamba Sokoine na Imran Kombe waliuawa na kwamba vifo vyao vinahusiana. Je, kuna maelezo kishawishi yapi (convincing) kufanya nadharia hiyo iwe na...
Unapoitazama nchi ya Rwanda leo huwezi kuamini kwamba kuna wakati ilitawaliwa na Wahutu tangu ilipopata uhuru mwaka 1962.
Nchi hiyo iliyokuwa koloni la Ubeligiji ilipata uhuru wake na kukabidhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.