Jukwaa la Historia

On JF:

Mike the Headless Chicken (Aprili 20, 1945 - Machi 17, 1947) [1] alikuwa kuku wa kiume wa Wyandotte ambaye aliishi kwa miezi 18 baada ya kukatwa kichwa, alinusurika kwa sababu sehemu kubwa ya...
2 Reactions
7 Replies
628 Views
BURIANI MWANETU AWADH MOHAMED AWADH Awadh Mohamed Awadh (Chico) alikuwa kafanana sana na baba yake. Mimi sikupata kumwita kwa jina lake la Awadh kwangu alikuwa Chico sijui kwa nini. Labda kwa...
5 Reactions
8 Replies
811 Views
Katika historia ya jamii za Kiafrika kandokando ya Ghuba ya Guinea, hakuna kabila lolote lililokuwa na neno la asili la kumaanisha ukahaba kabla ya kuwasili kwa Wareno mnamo mwaka 1455 BK katika...
2 Reactions
1 Replies
505 Views
Hizo picha mbili hapo chini zote zimepigwa siku za mwanzo kabisa za kuundwa kwa TANU na kuanza kwa harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika. Nimechagua picha hizi mbili ili kuonyesha haiba ya...
2 Reactions
3 Replies
621 Views
Asili: asili ya waluguru husemekana kuwa imetokana na watu kutoka maeneo ya chini(low land) kuhamia katika mlima kwasababu mbalimbali kwa mfano mapigano ya wenyewe kwa wenyewe na njaa na pia...
15 Reactions
105 Replies
57K Views
Habari wadau wa JF! Natumai wote mko fresh na maisha yanakwenda kama kawaida(ni unyama). Kama kuna mtu haliendi vizuri, basi pole sana, jaribu kunywa chai ya tangawizi, inasaidia sana kufungua...
5 Reactions
79 Replies
2K Views
Mzalendo Muasisi wa TANU aliyemwandikia na Kumkabidhi Julius Nyerere Kadi ya TANU Na. 1 Ally Kleist Sykes and Mohamed Said At Mr Sykes Office, Mkwepu Street, Dar es Salaam Historia ina...
9 Reactions
232 Replies
47K Views
Katika pita pita zangu kwenye mitaa ya YouTube nimekutana na hii video kutoka ITN Archive yenye mkusanyiko wa matukio ya mambo yaliyojiri baada ya kuuliwa kwa Indira Gandhi, aliyekuwa waziri mkuu...
16 Reactions
48 Replies
4K Views
Huyu E. Kezihalabi ni nani? Euphrase Kezilahabi alizaliwa 13 Aprili 1944 huko Namagondo kisiwani Ukerewe kilichopo ndani ya Ziwa Viktoria. Babake Vincent Tilibuzya alikuwa msimamizi wa kijiji na...
70 Reactions
194 Replies
52K Views
TABITHA SIWALE: MWANAMKE JEMBE LA KINYAKYUSA. Tabitha Ijumba Mwambenja, mke wa Marehemu Mzee Siwale alizaliwa Mkoani Mbeya, wilayani Rungwe kwenye Ukoo wa Mwambenja na damu yake inasemekana kuwa...
9 Reactions
20 Replies
9K Views
PICHA YA BABA WA TAIFA YA MKUTANO WA KURA TATU 1958 KUTOKA MAKTABA YA MZEE HEMEDI MASHAKA MDOSE TABORA John Iliffe alipata kusema katika miaka ya mwishoni 1960 wakati akiwa mwalimu wa historia...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
https://youtu.be/BiQXaEhkisE?si=S02Lbs7ZIB7REY1o
2 Reactions
4 Replies
660 Views
Bin-Adam ni MTU aliye na asili ya ukoo au uzaio wa ADAM wa mchongo wa kwenye biblia wewe Mwafrika siyo ukoo wa Adam na unapaswa kujitambulisha kama MTU kwa ubini wa asili yako. Short and clear...
8 Reactions
89 Replies
3K Views
Wadau wa historia habari zenu? naombeni msaada kuna habari nimewahi kuisikia zamani kidogo inamhusu Mwalimu Nyerere kipindi hicho akiwa Rais wa Tz na mwanasiasa mkongwe Bi Thabita Siwale waziri...
10 Reactions
103 Replies
25K Views
HAMISI HERI KUTOKA UASISI WA TANU 1954, KURA TATU 1958 HADI AZIMIO LA ARUSHA 1967 Familia ya Hamisi Heri imeipatia Maktaba picha ya Hamisi Heri mmoja wa waasisi wa TANU, Tanga. Picha imepigwa...
2 Reactions
7 Replies
717 Views
Habari manguli wa historia, Tunaambiwa wangoni ni moja ya makabila ya mwisho kufika Tanganyika. Walitokea Afrika kusini miaka chini ya 200 iliyopita kwa kukimbia vita na makaburu na makabila...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
https://youtu.be/L0Vax2uGgJU?si=ew8vonaaY7SbmoMg
2 Reactions
2 Replies
375 Views
Athmani Kondo ni mmoja wa Wazee Mashuhuri na Maarufu wa Tabora walionialika kuzungumza katika Kongamano la CCM kuhusu mchango wa Tabora katika kupigania uhuru wa Tanganyika. Nilizungumza Ukumbi...
3 Reactions
4 Replies
565 Views
Kuna uhakika na kuaminika kwamba, Wasambaa ni moja ya makundi ya Wabantu wanaotokea Afrika Magharibi na Kaskazini wakipitia nchi za Ethiopia na Kenya. Wasambaa ni tawi lilomegega kutoka kwa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika karne ya 8, mji wa Lanciano, Italia, ulikuwa mashahidi wa tukio lisilo la kawaida ambalo limeendelea kushangaza ulimwengu hadi leo. Wakati wa Misa Takatifu, mkate wa Ekaristi ulibadilika...
4 Reactions
5 Replies
744 Views
Back
Top Bottom