Titi Mohammed Salum Mandangwa kazaliwa katika familia ya dini haswaa, lakini kapita vikwazo vingi. Amezaliwa 1926, Dar es Salaam na kufariki Johannesburg, RSA katika hospitali ya Net Care, Novemba...
UZINDUZI WA KITABU KIPYA CHA HISTORIA YA MAPINDUZI ZANZIBAR
Speaker: Mohamed Said
Chairperson: Hamza Zubeir
Date and Time: SUTURDAY 17 August 2024, at 4.00 PM
Venue: ZIRPP...
KESI YA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE No. 2207/58, KESI YA FIDEL CASTRO 1953 NA KESI YA TUNDU LISSU
Nimeamka na Maktaba.
Kwa haraka haraka nimepitia kijuujuu vitabu hivi viwili vya watu...
https://youtu.be/Zv8eSKAM4cU?si=jpAWzFbsa1qG--wS
IPI HISTORIA YA KWELI YA CHAMA CHA TANU?
Nimeweka historia nne za kuasisiwa kwa chama cha TANU.
Kuna historia ya TANU inayoanza na Mwalimu...
"How long shall they kill our prophets while we stand side and look" By Bob Marley
-Biko
-Nkuruma
-Sankara
-Samora
-Nk
WAKE UP AFRIKA WAKE UP BLACK PEOPLE THIS IS YOUR TURN!!
Wakristo na Waislamu waliomiliki watumwa kabla biashara ya utumwa haijakomeshwa walikuwa watu wema wa dini zao au waovu watakaochomwa moto?
Kwa nini inaonekana watu wa hizi dini kubwa mbili...
Je, Augustine Mahiga ndiye "Shahidi X" kwenye kesi maarufu ya uhaini ya mwaka 1983?
Yasemekana alikuwa na kumbukumbu mujarab zilizowezesha kuwasambaratisha washtakiwa.
Kitabu cha Kesi ya Uhaini...
Kwa wale waliosoma History huyu ndiye Luteni Zachariah Hans Pope wa JWTZ alieshiriki Ktk jaribio la mapinduzi ya kumpindua baba wa Taifa mwl JK Nyerere 1982 akishirikiana na kina kapteni Eugene...
Kama anavyotambulishwa, jina lake ni Zacharia Hans Poppe, ambaye alizaliwa mwaka 1956 mjini Dar es Salaam na kukulia mkoani Iringa.
-
Baada ya kumaliza elimu ya sekondari, Zacharia alijiunga na...
Habari Wana JF leo Kama Kawaida Mimi mtu wa Kufuatilia Historia Mbali mbali Twende na Mimi.
KIFO CHA ADOLF HITLER, TAREHE 30/04/1945:
Adolf Schickelgruber, A.K.A Hitler alikuwa mzaliwa wa nchi...
"The stong man in the world is the one with the best information"
Hii ni kauli ya waziri mkuu wa zamani wa Uingereza Benjamin Disarel ambaye aliwahi kutawala kipindi nchi hiyo wakati wa vuguvugu...
Amani itawale.
Watu wa taifa la Thamud walipata kuishi katika nchi/mji uliofahamika kama Al-Hijr kaskazini magharibi mwa taifa la Saudi Arabia hivi leo.
Ni watu waliokuwa na nguvu sana na...
MBUGA KUBWA YA WANYAMA YA SELOUS
https://m.youtube.com/watch?v=sPvEJL1q4Io
Frederick Selous aliyezaliwa 1851 akawasili Cape Town jamhuri ya Africa ya Kusini bandarini akiwa na umri wa miaka 19...
Shajara ya Mwana Mzizima
Sheikh Yahya Hussein: ‘Mjawiid’, Mnajimu, Tabibu na Mtabiri Bingwa Afrika Mashariki
Sehemu ya Kwanza
Na Alhaji Abdallah Tambaza
Sheikh Yahya Hussein
NIANZE kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.