Wana historia wa vita vya Kagera / Uganda wamekuwa wakiwataja makamanda wakuu wa vita hivyo waliokuwa na vyeo vya Brigedia kwenda juu.
Majina kama Abdalah Twalipo, Tumainieli Kiwelu, John Walden...
Injini ya meli kubwa iliharibika, na hakuna alieweza kuitengeneza, wakaamua wamtafute fundi mwenye uzoefu wa miaka 30, alipofika akaiangalia injini yote kwanzia juu hadi chini, baada ya kukagua...
Diallo alizaliwa mwaka wa 1701, alikuwa mwana wa mfanyabiashara wa watumwa katika Senegal ya sasa 🇸🇳 Alipokuwa mkubwa, alijihusisha sana na biashara ya baba yake, kuuza watumwa kwa wafanyabiashara...
Kwenye pita pita zangu katika makarasi ya mzee nikakutana na hili tangazo, tangazo za sigara ambazo sikufahamu kuwa zilikuwa ni sehemu kubwa ya maisha ya watu enzi hizo.
Kwa wale wahenga nadhani...
KWA ZITTO KUNANG'ARA NA DAKU LA RAMADHANI LINANG'ARA
Zitto hajaacha kunishangaza kila siku.
Nilikuwa na hamu ya kuingia ndani ya Restaurant niangalie na kupiga picha.
Lakini kitu kimoja...
1) Nchi ya Ugiriki/ Uyunani inapatikana upande Kusini Mashariki mwa bara ka Ulaya. Nchi hii imepakana na nchi ya Albania, Macedonia Kaskazini, Uturuki na Bulgaria na pia imepakana na bahari ya...
Tunduru ni moja ya wilaya ambayo inapatikana katika mkoa wa Ruvuma kusini mwa Tanzania, asili ya wakazi wa Tunduru ni Wayao ambao wanasadikika wanatokea Msumbuji, katikati ya miaka ya 80 kulikuwa...
Bob Marley alizaliwa tarehe 6 Februari 1945 huko Nine Mile, Saint Ann Parish, Jamaika. Jina lake halisi lilikuwa Robert Nesta Marley. Alikuwa mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, na mpigaji gitaa maarufu...
Siku kama ya Leo mwaka 1804 huko Ufaransa bwana Napoleon Bonaparte alijivika Taji kama Kaisari wa Ufaransa. Mwaka uliofuata akapewa pia Taji la Mfalme wa Italia.
Vita ya Mapinduzi yake dhidi ya...
Je! aliibiwa?: wakubwa shkamoni wadogo abari zenu mabinti mambo zenu.
Nakusogezea kisa hiki cha kusisimua kuhusu Mzimu wa Ziwa Tanganyika. Moja ya sababu ya maji kujaa na kuharibu mali za watu...
Katika moja ya campaign yake huko Afghanistan, Genghis Khan alipewa taarifa kuwa mjukuu wake pendwa ameuliwa akiwa vitani, jamaa alichoamuru ni kuua kile chochote chenye uhai katika jamii hio...
Hakika, tuingie kwenye uchambuzi wa kina wa mifumo ya kisimbologia ya zamani, tukizitazama kana kwamba zina ujuzi wa siri wa kibiolojia, umeme-graviti, na alkemia. Uchambuzi huu utachunguza pia...
1. Utangulizi
Historia ya taifa la Israeli ni ya kipekee, ikiwa na mchanganyiko wa imani, vita, uhamisho, na marejeo ya kiroho. Waisrael, watu wa Mungu, walikulia katika mazingira ya kihistoria...
Kama ulipanda haya mabasi jione kuwa hivi sasa upo kwenye dakika za majeruhi refa anaweza kumaliza mpira wakati wowote.
Kipindi hiki kutoka Bukoba kuelekea Mzizima ilikuwa ni safari ya siku...
KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO
Utangulizi
"Kanisa la Waadventista Wasabato ni dhehebu la Kikristo la Kiprotestanti ambalo linatofautishwa na utunzaji wake wa Jumamosi, siku ya saba ya juma...
Mabishano ya Bar yalivyoleta GUINNESS WORLD BOOK OF RECORDS
Je ulikua unalijua Hili ?
Guinness World Records ilianza kama suluhisho la mabishano ya baa lakini sasa ni taasisi ya kimataifa!
Hii...
Kutokana na mitazamo tofauti ya wananchi juu ya wenyenchi, kila awamu ya uongozi ukihudumu.
Mimi binafsi natambua umuhimu wa kila awamu kwa nafasi yake, ila awamu ya I & V ni za viwango.
Kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.