Katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam, kuna mwembe mkubwa wenye historia ya kipekee. Mwembe huu, unaotarajiwa kutimiza miaka 61 mnamo Aprili 2024, haujulikani sana kwa wengi.
Mti huo...
Tabora Hotel, ambayo kwa sasa inajulikana kama Orion Tabora Hotel, ina historia ndefu na ya kipekee inayohusiana na mabadiliko ya kisiasa, kiuchumi, na kitamaduni nchini Tanzania kwa zaidi ya...
Jakaya Kikwete akiwa na Washindi wa Miss Tanzania mwaka 1995 katika picha ya pamoja.
Mshindi wa Miss Tanzania mwaka huo alikuwa Emily Adolf.
Miaka takribani 30 iliyopita, hapo Mh. Jakaya Kikwete...
Miaka kadhaa nyuma, mzazi wako alikuwa anaandika barua na kwenda kuituma posta. Sometimes ilifika baada ya wiki mbili au ilikuwa inaweza isifike kabisa.
Kisha baadae simu zikaja then mitandao ya...
Eloi Eloi Lama sabakhtani " Mungu wangu. Mungu wangu mbona waniacha." Je alipokuwa mimba ina maana dunia haikuwa na Mungu? Je Mungu hakuwa na namna ya 'kuwakomboa' hao waliopotezwa na shetani...
ELLEN G. WHITE
Ellen Gould White (née Ellen Gould Harmon; Novemba 26, 1827 - Julai 16, 1915) alikuwa mwandishi na mwanzilishi mwenza wa Kanisa la Waadventista Wasabato. Pamoja na viongozi wengine...
MAKTABA IMEPOKEA JARIDA LA KUMUENZI PROF. ABDALLA BUJRA (1938 – 2025)
Siku chache zilizopita alinipigia simu Prof. Mohamed Khalil Timamy kutoka Takaungu, Mombasa akaniambia kuwa anakwenda Malindi...
Machafuko ya Desemba 2001, yanayojulikana pia kama Argentinazo, yalitokea nchini Argentina kufuatia mgogoro mkubwa wa kiuchumi. Serikali ilizuia watu kutoa pesa benki (Corralito), hali...
ilianzishwa kama Dola huru la Kongo likiwa mali binafsi ya mfalme Leopold II wa Ubelgiji. Historia yake ni ya aibu na ya ukatili kupindukia.
Utawala wa mfalme ulionekana kuwa wa kinyama na...
Ninawi ni mji mkongwe na uliokuwa maarufu zaidi miaka ya Yona, mji huu unapatikana katika nchi ya Syria karibu kabisa na mji unaoitwa Mosul uliopo Iraq.
Ninawi ulikuwa mji muhimu sana kwa sababu...
harakati za mkwawa zilikua ni kukamata himaya moja baada ya nyingine na kuifanya yake. na alizikamata kwa nguvu. inshort alikua mkoloni na na yeye kwa makabila ya jirani. Hakupanga kuacha, mpaka...
https://youtu.be/CVXxtVyvVPM?si=rF3f154L9fP4pv3c
Baada ya kuangalia kipindi cha Kenneth Kaunda nikaona niweke makala yake niliyoandika mwaka wa 2021 alipotimiza miaka 97.
KENNETH DAVID KAUNDA NA...
MAKTABA: MUHIDIN ISSA MICHUZI NA PICHA ALIZOPIGA MAREHEMU MOHAMED SHEBE
Leo Maktaba imewapokea wapiga picha maarufu na wakubwa katika nayakati zao Muhid ''Ankal'' Issa Michuzi na Mohamed Shebe...
MJUE EUGENE MAGANGA MHUSIKA WA NJAMA ZA KUIPINDUA SERIKALI YA RAIS JULIUS NYERERE Jan 9, 1982.
"Tunajutia tu kushindwa mapinduzi, lakini hatujutii kupanga mapinduzi" -Capt. Eugene Maganga.
JAN...
Zanzibar ndo ulikua Mji wa kwanza kutumia Taa za umeme Afrika na Tanganyika kwa ujumla
Moja kati ya stori ambayo watu wengi hawajui kuhusu Maendeleo kati ya Tanganyika na Zanzibar basi Zanzibar...
Ugweno, Mwanga
Kilimanjaro
Tanzania
HISTORIA YA SHUJAA WAUGWENO WILAYA MWANGA, ALIYEITUMIKIA TANZANIA
https://m.youtube.com/watch?v=0cM3JTfPQpc
Ugweno Mwanga milimani mkoani Kilimanjaro wafungua...
THE LEGACY OF MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE: The Powerful Lesson for Africas New Generation.
ECKERNFORDE TANGA UNIVERSITY
P.O BOX 5079, TANGA.
Authors:
Jilala Simon N. (Assistant...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.