Jukwaa la Historia

On JF:

Kitabu hicho hapo juu ni Kumbukumbu za Ali Muhsin Barwani mmoja wa wapigania uhuru wa Zanzibar na kiongozi wa Zanzibar Nationalist Party (ZNP) Hizbu. Akiwa mmoja wa mawaziri wa serikali ya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Chukulia mfano, ni Jumapili wewe na familia yako mpo kanisani, mara mchungaji wenu mnayempenda na kumuamini anaanza kuwahubiria kwamba maisha ya hapa duniani hayafai kabisa kwa sababu dhambi...
1 Reactions
17 Replies
7K Views
SHIMIWI ni mashindano ya michezo ambayo hujumuisha Wafanyakazi wa Serikali Kuu,Idara na Mashirika mbalimbali ya Umma,mashindano haya hujumuisha michezo mingi kama mpira wa miguu,wa pete,mchezo wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwirobareee! Naaaaaaaaaaam! Kuanzia miaka hiyo ya RFA na radio One. Top Manyota, Top Manyota, Mwirobareee na wengine waliweza kuleta furaha maishani mwangu pamoja na wasanii wazuri wa Bongo fleva...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Kwa anaejua aniambie jaman...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Nilishaangaika kweli kutafuta hotuba za Hayati E.M.Sokoine bila mafanikio. Nilitembelea duka la RTD ya zamani pale Zanaki street nikakosa, niliwahi pia kuwa'pm' baadhi ya magwiji wa kutunza...
1 Reactions
32 Replies
6K Views
WARENO 1500 – 1800Ukiristo uliletwa kwa mara ya mwanzo Zanzibar na Wareno. Wareno wakielekea juu kutoka kusini baada ya kufanikiwa kuizunguka Rasi ya matumaini mema – Cape of Good Hope katika...
1 Reactions
15 Replies
11K Views
SEHEMU YA KWANZA: KUTOKA UWANJA WA VITA – TEHRAN 1985 Mwezi Machi 1985, Tehran ulikuwa ni uwanja wa vita. Makombora ya Iraq yalikuwa yakidondoshwa kila usiku na kuwaweka wakazi wa jiji hilo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Niliwahi kusikia kuwa kulifanyika 'majaribio' ya kumpindua Mwl. Nyerere mwanzoni mwa utawala wake..je ni kweli??
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ZANZIBAR inaumwa; tena inaumwa ugonjwa unaoua hima (terminal disease) isipopata tiba makini, tiba yenye nguvu na kwa dozi kubwa. Vipimo vya kitaaluma vinaonesha inasumbuliwa na mashetani, mizuka...
2 Reactions
5 Replies
9K Views
Nasaha za Mihangwa ABEID KARUME: Aliuawa kulipiza kisasi au kumpindua? II Joseph Mihangwa Toleo la 127 31 Mar 2010 KATIKA sehemu ya kwanza ya makala haya wiki iliyopita, tuliona juu ya utata...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Salaam wana jamvi wote!! Ninaomba mwenye data za uhakika juu ya nini hasa kilisababisha mwana wa afrika kwame nkurumah kupinduliwa hapo 1966,maana kuna uvumi kuwa alipinduliwa mara baada tu ya...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Polisi kuua raia hovyo Mawaziri na viongozi kufanya na kusema watakacho Jumuiya za kidini kugomea sensa bila kujali Ufisadi wa kutisha nchini unaoendeshwa bila woga Migongano ndani ya CCM kufikia...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hili kundi ndio lilihusika na mauaji ya wanamichezo wa Israel mjini Munich wakati wa michuano ya Olympic 1972. Wanamichezo 11 waliuawa wakati hawa jamaa walipofanya ambush kwenye kambi ya Olymic...
9 Reactions
63 Replies
10K Views
J. F. Kennedy was a very close friend of Nyerere. They have been in touch for a little while before making this State Visit in the summer of 1963. Tanganyika was changing and so was US. The two...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Pull back from Tanzain Coat of Arms to platform of Victoria Station as train pulls in. MS The Queen & Duke of Edinburgh. President Nyerere from train shakes hands with Queen and Duke, then Prince...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Baada ya Marekani kusitisha msaada wake kwa Tanzania kupitia MCC, kumeibuka mijadala mikubwa sana, kuhusu uhalali wa Marekani kufanya hivyo, na ni kiasi gani Tanzania kama inchi inaweza kuathirika...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Nilipata kutizama sinema moja muda mrefu kidogo ambayo ili semwa(based on the true story) ikieleza jinsi ilivyo kuwa,kwanza tutambue wakati wa biashara ya utumwa watumwa wengi walio toka Afrika ya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kuna wimbi la kutaka kuandika upya historia ya Australia kwani iliyopo inapotosha. Wanafunzi wamekuwa wakihamasishwa kukwepa baadhi ya maneno yaliyopo kwenye historia ya sasa. Wanatakiwa kusema...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Mgombea urais marekani Dornald Trump amekuwa akijadiliwa na baadhi ya wachambuzi wa masuala ya kisiasa za kimataifa , kuwa ikiwa atashinda Africa na Dunia zi hatarini Je, Trump n tishio kwa mambo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…