Tujikumbushie historia ya simu za mkononi redioni

Acha Uvivu

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
526
131
Mwirobareee! Naaaaaaaaaaam! Kuanzia miaka hiyo ya RFA na radio One. Top Manyota, Top Manyota, Mwirobareee na wengine waliweza kuleta furaha maishani mwangu pamoja na wasanii wazuri wa Bongo fleva km Afande Sele, Prof J, J Nature n.k Ongezea wengine marufu kwa mawasiliano na kutuma salamu redioni unaoona walikupa faraja ya maisha
 
Nilitegemea uongelee kuanzia za namna hii!

131450-02_dynaTac8000.jpg
 
Niambiiiiiiiiiiiiiiiiiiieeeeeeeeeeeeeee Imma Kulaya hapa napiga simu kutoka mwananyamala selasela nuctanucta!! Niambieeeeeeeeeeeeeee
 
Mwirobareee! Naaaaaaaaaaam! Kuanzia miaka hiyo ya RFA na radio One. Top Manyota, Top Manyota, Mwirobareee na wengine waliweza kuleta furaha maishani mwangu pamoja na wasanii wazuri wa Bongo fleva km Afande Sele, Prof J, J Nature n.k Ongezea wengine marufu kwa mawasiliano na kutuma salamu redioni unaoona walikupa faraja ya maisha

Mkuu huyo jamaa alikuwa anaitwa Muhiri Obare Chacha Ging'ombe. Niliwahi kukiona kibanda chake kimendikwa hivyo pale Igoma MZ
 
da umenikumbusha mbali sanaaaaa wapi ezekieli mwalongo nakumbuka huyu alikuwa mtangazaji wa RFA kipindi cha michezo. Mwiliobareeeeee naaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaammmmmmm????? Na kunamwingine alikuwa anaitwa chesko mze wa matunda
 
Radio one enzi utawaskia fundi kadago mtaalam wa suti , mak D , RwaBukambala huyu jina lake lilichaguliwa jina bora la chaguo la msikilizaji !
 
kuna jamaa alikuwa anaitwa jumanne sebarua tingisha....... Akitaja jina lake lazima aseme yuko sambamba na watu kazaaaa....
 
Lawena Nsoda, Lawena Nsonda, niko mkoani Mbeya hapa Chunya, karibu eee mama.
 
nawazimia zaidi wale watuma salamu kwa barua enzi hizo Radio Tanzania, sauti ya ujerumani wakiongozwa na Zakaria Ndemfoo, father Nagunwa Nakomolo, Hassan Majeshi
 
Zakaria Ndemfoo wa Lake Babati Arusha,, Chivalavalay m chivalavala wa Mahuta Newala enzi za RTD
 
Ah ah ah ah ah mwiliobareeeeeerrr...naaaaaaaaaaaaam
Mbali sana hayaaa nipo sec
 
Jet lee nikiwa mwenge mchito phamacy, kuna mwingine wa liganga street jina nimelisahau, na mwingine alikuwa anapiga simu kutoka hiltek resort
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom