Yanayotokea Tanzania ni matokeao ya kutoheshimiwa kwa JK na serikali yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yanayotokea Tanzania ni matokeao ya kutoheshimiwa kwa JK na serikali yake

Discussion in 'Jukwaa la Historia' started by Synthesizer, Sep 4, 2012.

 1. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,334
  Likes Received: 3,130
  Trophy Points: 280
  • Polisi kuua raia hovyo
  • Mawaziri na viongozi kufanya na kusema watakacho
  • Jumuiya za kidini kugomea sensa bila kujali
  • Ufisadi wa kutisha nchini unaoendeshwa bila woga
  • Migongano ndani ya CCM kufikia hatua ya kutishiana kwa bastola
  • Usalama wa taifa kuhusishwa na utekaji wa watu
  • Wawekezaji wa nje kuonekana wana mamlaka zaidi ya raia
  • Bunge na Spika kukosa heshima inayostahili
  • Kamati za bunge kupokea rushwa
  • Nchi jirani kututikisia kiberiti juu ya suala la mipaka
  • Ofisi zetu za ubalozi kutothaminiwa
  • Kuwa na migomo ya wafanyakazi kila kukicha
  • nk, nk

  Yote haya ni matokeo ya kuwa na ofisi ya uraisi isiyoheshimika na watu wenye madaraka kuona kama kuna "vacuum" ya uongozi, na kujua kwamba hata wafanyeje, sio rahisi kwamba watachukuliwa hatua (can get away with it). Ni kama vile nchi haina raisi mwenye mamlaka, kwa sababu wengi wanaona kilichopo ni ubabaishaji (uswahili) tu.

  Amini nawaambieni, tushukuru Mungu hatuko enzi zile za majeshi barani Afrika kupindua nchi.
   
 2. Oneya Fuko

  Oneya Fuko Member

  #2
  Sep 4, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  time will tell
   
 3. neemamushi

  neemamushi Member

  #3
  Sep 4, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mmmmmmmmmh aise hii ni hatar kwa tanzania
   
 4. m

  markj JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  naongezea: kila mtu pia sasa anajifanya rais mf, kondakta,sekretari,house girl nk hii ni baada ya kugundua rais ni ......
   
 5. Nelson nely

  Nelson nely JF-Expert Member

  #5
  Nov 25, 2015
  Joined: Jan 25, 2014
  Messages: 2,746
  Likes Received: 981
  Trophy Points: 280
  yamepita,tutulieni wakuu,tusikilizie!
   
 6. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #6
  Dec 3, 2015
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,334
  Likes Received: 3,130
  Trophy Points: 280

  Naona Heshima ya Tanzania inaanza kurudi pole pole!!!!!!
   
 7. zinginary

  zinginary JF-Expert Member

  #7
  Apr 7, 2016
  Joined: Dec 18, 2015
  Messages: 1,795
  Likes Received: 1,085
  Trophy Points: 280
  Yeap mkuu..naona sasa tunakiongozi kidogo
   
Loading...