Nini Asili ya kizazi cha waarabu weusi?

Franco Zetta

JF-Expert Member
Nov 3, 2014
1,661
843
Nilipata kutizama sinema moja muda mrefu kidogo ambayo ili semwa(based on the true story) ikieleza jinsi ilivyo kuwa,kwanza tutambue wakati wa biashara ya utumwa watumwa wengi walio toka Afrika ya magharibi walipelekwa marekani na west indies,cuba wakatumika kwenye mashamba ya miwa n.k na biashara ya utumwa ilipo koma wakawa huru ndio hawa kizazi cha african Americans ukiacha walio rejeshwa Sierra leon na Liberia, Wale waliotoka Afrika mashariki walipelekwa arabuni ambako kwa bahati mbaya sana walifikia kuhasiwa tofauti na walio pelekwa Marekani ili wasilete mchanganyiko usio hitajika,bahati mbaya/nzuri sio kila zoezi lili fanyika vizuri na hakuna pia aliye nusurika akarudi kusema bado ame baki na urijali wake na kazi walizo pewa baadhi zili kuwa za kudhalilisha kama kumuogesha mama na mabinti utakuta mwarabu ana wake wanne sasa baadhi ya watumwa walio nusurika wakatokea kubainika na hawa kina mama/dada kuwa wako fiti baada ya kuonekana wana inua mahema na kwa wengi ikawa siri baina yao na waafrika majaliwa yetu yana julikana na mama akiangalia mzunguko baada ya wenzie watatu ni mkubwa na yeye ana uhitaji basi hapo uaminifu ukawa mgumu waka hifadhiana na wengine wakaishia kupata mimba na kutoroka kwenda kuishi kwenye vimiji ya mabedui kwenye oasis sasa uzao huu upo mpaka katika koo za kifalme na za kitajiri wali ingiaje huko sifahamu, ila kama kuna mwenye uelewa zaidi karibu tafadhari.
 
Back
Top Bottom