Titans
JF-Expert Member
- Dec 31, 2010
- 1,459
- 3,368
Hili kundi ndio lilihusika na mauaji ya wanamichezo wa Israel mjini Munich wakati wa michuano ya Olympic 1972. Wanamichezo 11 waliuawa wakati hawa jamaa walipofanya ambush kwenye kambi ya Olymic mjini humo.
Black September ilikuwa ni wing ya Palestine Liberation Organization (PLO) ya Yasser Arafat iliyokuwa ikipambana kupata uhuru na kujitawala huko Jerusalem. Vijana 5 wanaosaidikiwa kutoka kambi za wakimbizi za Wapalestine Syria, Lebanon na Jordan ndio walihusika na shambulizi hili huko Munich wakivamia kambi na silaha nzito nzito.
Waliteka baadhi ya wanamichezo katika ile kutaka escape plan waliomba ndege ya kuwapeleka Egypty, lakini Egypty ilikataa kupokea hao jamaa katika muktadha huo. Katika purukushani hao wauaji baadhi waliuawa na wengine kukamatwa na mapolisi wa Ujerumani. Ujerumani ilikataa msaada wa Israel katika ku-deal na ile hostage situation ni kama ingeonekana haiko strong kwenye ishu ile. Dhumuni lao la kushika mateka ilikuwa kuilazimisha Israel iwaachie wafungwa zaidi ya 200 wa Kipalestina walio jela za Israel pamoja na critics wawili wa kijerumani wa Red Army Faction waliokuwa jela Ujerumani. Ila kwa wakati huo Israel ilikuwa na policy “never negotiate with a terrorist under any circumstance”
Baada ya kuuwawa.
Walisafirishwa mpaka Libya ambapo walipokelewa kwa heshima kubwa katika nchi hiyo. Na walizikwa kishujaa kwa kutumia ishara za kijeshi na mizinga.
Israel Retaliation
Baada ya miezi kadhaa ya maombolezo, Israeli ilipiga mabomu kambi za PLO zilizoko Syria na Lebanon na kuua zaidi ya watu 200. Pia Mossad walianzisha operation maalum kuwa-track down planners wa yale mauaji wakiita “Wrath of God”. Mda kidogo ndege ya Ujerumani Lufthansa ilitekwa na vijana wa kipalestina wakidemand wale mateka waliokamatwa kule Munich waachiwe la sivyo watailipua.
Israel ilifanikiwa kuwaua planners wa ile mission either kwa sumu, hear attack, surveillance live shootings, remote sensing bombs ikiongozwa na Ehud Barak kokote walipokuwa either Ulaya, Asia au North Africa. Ingawa pia kuna ripoti zinasema baadhi ya waliouawa hawakuhusika na shambulio lile. Kati ya the most wanted alikuwa Abu Daoud ambaye alitafutwa kipindi kirefu sana na Israel lakini alisavaivu gun shot attacks akipigwa risasi tano na ni pekee aliyekufa natural death damascus 2010 kati ya planners wa massacre, ingawa katika intervies alisema pesa ya kufadhili lile shambulio ilitoka kwa Mahmoud Abbas.
Mision mojawapo ambayo Black September waliifanya kitaalam ilikuwa ni kumuua mtu wa ubalozi wa Israel mjini London akiitwa Ami Shachori 1972. Walituma barua kama nane hivi kwa staffs wa ubalozi zikiwa ni bomb letters,nne kati ya hizo zilidakwa kabla ya kufikia walengwa lakini moja ilimfikia huyo diplomat akidhani ni order aliyoifanya. Aliifungua hiyo barua na mlipuko mkubwa ukatokea na kumuua.Black September ilikuwa ni wing ya Palestine Liberation Organization (PLO) ya Yasser Arafat iliyokuwa ikipambana kupata uhuru na kujitawala huko Jerusalem. Vijana 5 wanaosaidikiwa kutoka kambi za wakimbizi za Wapalestine Syria, Lebanon na Jordan ndio walihusika na shambulizi hili huko Munich wakivamia kambi na silaha nzito nzito.
Waliteka baadhi ya wanamichezo katika ile kutaka escape plan waliomba ndege ya kuwapeleka Egypty, lakini Egypty ilikataa kupokea hao jamaa katika muktadha huo. Katika purukushani hao wauaji baadhi waliuawa na wengine kukamatwa na mapolisi wa Ujerumani. Ujerumani ilikataa msaada wa Israel katika ku-deal na ile hostage situation ni kama ingeonekana haiko strong kwenye ishu ile. Dhumuni lao la kushika mateka ilikuwa kuilazimisha Israel iwaachie wafungwa zaidi ya 200 wa Kipalestina walio jela za Israel pamoja na critics wawili wa kijerumani wa Red Army Faction waliokuwa jela Ujerumani. Ila kwa wakati huo Israel ilikuwa na policy “never negotiate with a terrorist under any circumstance”
Baada ya kuuwawa.
Walisafirishwa mpaka Libya ambapo walipokelewa kwa heshima kubwa katika nchi hiyo. Na walizikwa kishujaa kwa kutumia ishara za kijeshi na mizinga.
Israel Retaliation
Baada ya miezi kadhaa ya maombolezo, Israeli ilipiga mabomu kambi za PLO zilizoko Syria na Lebanon na kuua zaidi ya watu 200. Pia Mossad walianzisha operation maalum kuwa-track down planners wa yale mauaji wakiita “Wrath of God”. Mda kidogo ndege ya Ujerumani Lufthansa ilitekwa na vijana wa kipalestina wakidemand wale mateka waliokamatwa kule Munich waachiwe la sivyo watailipua.
Israel ilifanikiwa kuwaua planners wa ile mission either kwa sumu, hear attack, surveillance live shootings, remote sensing bombs ikiongozwa na Ehud Barak kokote walipokuwa either Ulaya, Asia au North Africa. Ingawa pia kuna ripoti zinasema baadhi ya waliouawa hawakuhusika na shambulio lile. Kati ya the most wanted alikuwa Abu Daoud ambaye alitafutwa kipindi kirefu sana na Israel lakini alisavaivu gun shot attacks akipigwa risasi tano na ni pekee aliyekufa natural death damascus 2010 kati ya planners wa massacre, ingawa katika intervies alisema pesa ya kufadhili lile shambulio ilitoka kwa Mahmoud Abbas.
Sijapata mda tu ila nishawahi soma sehem kuwa Illich Ramirez Sanchez aka Carlos alikuwa ni member wa Black september pia.
Israel na Palestina wana historia ndefu sana, na itaendelea kuwepo kizazi na kizazi