TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 24,751
- 24,802
Nilishaangaika kweli kutafuta hotuba za Hayati E.M.Sokoine bila mafanikio. Nilitembelea duka la RTD ya zamani pale Zanaki street nikakosa, niliwahi pia kuwa'pm' baadhi ya magwiji wa kutunza kumbukumbu hapa JF nao pia walinikalia kimya (hawakunijibu mpaka sasa).Pia niliwahi kuanzisha uzi hapa kununua hotuba hizo nikawashirikisha ma'moderators, lakini wapi hakuna nilichopata. Ninauliza hotuba za mzalendo huyu wa Tanzania zilifungiwa kusikilizwa, kusomwa hapa nchini kama mziki wa 'Segere' ama kitabu fulani cha mwandishi ....Hamza Njozi (Mwembe'tea'.....!!!)?
Kama zilifungiwa naomba majibu ili niache kujisumbua kuzitafuta, maana mimi na vitu visivyohalali hatuendi pamoja!
Kama zilifungiwa naomba majibu ili niache kujisumbua kuzitafuta, maana mimi na vitu visivyohalali hatuendi pamoja!