Jukwaa la Historia

On JF:

Nilipokua mdogo kati ya miaka 10na kuendelea niliishi na Tamaduni mbalimbali katika maeneo nnayo ishi. Tamaduni hizo nilizoea kuziona katika maonesho mbalimbali ikiwemo ktk zifa za kitaifa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo mrema ameamua kutupa ukweli, ifahamike kwamba kuna watu walijitokeza kuwalipia wafungwa waliotakiwa kulipa faini wakashindwa na hivyo kupelekwa mahabusu kutumikia kifungo, lakini...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Canaan Sodindo Banana (Machi 5, 1936 - 10 Novemba 2003) alikuwa Rais wa kwanza wa Zimbabwe kutoka Aprili 18, 1980 hadi Desemba 31, 1987 Wakati wa uhai wake, Banana ndiye aliyeviunganisha vyama...
2 Reactions
11 Replies
5K Views
Nilizaliwa Tanga ni mda mrefu nimemaliza miaka yangu katika jiji hili la mapenzi yalipozaliwa lakini pia nimepata bahati ya kutembea miji mingi Tanzania bara lakini sijawahi kuona mji ambao una...
2 Reactions
3 Replies
6K Views
Nilikuwa natafakari tu nikaona niulze mwenye kujua je Rc makonda huko bungeni kwenye kamati ya maadili nini kitakachoendelea?
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Home Monday, 2 January 2017 DR. RAWYA SAUD AL BUSAID KITUKUU CHA TIP TIP Utangulizi Kila unapoitafiti historia ya Zanzibar ndipo inapozidi kukushangaza na kukustaajabisha khasa katika...
2 Reactions
32 Replies
7K Views
Ilikuwa Julius Nyerere akiwa rais wa TANU ndiye aliyemshawishi Zuberi Mtemvu kuacha kazi na kuwa mtumishi wa kuajiriwa wa TANU. Mtemvu akaacha kazi kama Assistant Wlefare Officer na kuwa mtumishi...
7 Reactions
2 Replies
3K Views
--------------IN FACT------------------- NCHI AMBAZO PENGINE HATIZA SURVIVE VITA YA III YA DUNIA. Wengi wetu tuna shauku ya kujua ni kitu hasa kitatokea endapo vita ya III ya dunia...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Historia ya hili linaloitwa Kabila la wagogo halipo na kwamba lilibuniwa tu na Wakoloni" Habari kamaili ipo hapo chini, kwa hiyo kwa kifupi hakuna kitu kama Kabila la Wagogo kama ilivyo hakuna...
0 Reactions
20 Replies
14K Views
Jamani eti binadamu wa kwanza aliishi Tanzania, ninavyo fahamu Binadamu wa kwanza ni Adamu je, Adamu aliishi hapa Tanzania? tusaidiane jamani hizi history pasua kichwa. TTB yaitangaza Tanzania...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Mhariri wa Raia Mwema katika toleo lake la 15 - 21, Machi 2007 katika tahariri yake kwa kumuadhimisha marehemu George Kahama aliyezikwa jana ameeleza masikitiko yake kwa Tanzania kutokuwa na...
17 Reactions
111 Replies
11K Views
"UPINZANI UMEPOTEA TOEN HOJA ZA KUWAHUDUMIA WANANCH WALIO WACHAGUA" nashangaa sana kusikia wabunge wa chadema wamejiandaa kuwasha moto katika bunge linalo anza 04 april , kuhusu mh; paul...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
"Katiba hii imenipa Madaraka makubwa sana, siku atakuja mtu ataitumia atakavyo na kuwa kama Mungu". - Mwl. Nyerere 1982. “Ni kazi bure kwetu, na kwa kweli ni ubatili mtupu, kuwa na Taifa lenye...
5 Reactions
10 Replies
3K Views
Agri Care, Substantially provides accurate measures in preserving natural soil nutrients that has lately faced fatal degradation through direct application of chemicalized fertilizer form...
0 Reactions
0 Replies
660 Views
Wazawa wa Makete wakiwa nje ya Makete wanajitambulisha kuwa wote ni Wakinga. Ukweli ni kwamba kuna makabila manne ambayo ni Kinga,Wanji,Magoma na Mahanji. Wakinga ndio wengi kuliko makabila...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Hapa naomba nitawaletea historia fupi ikiambatana na Picha kwa aliekuwa Rais wa Afrika kusini, Nelson Mandela. Sorry najaribu kuweka Picha naona zinagoma
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanaukumbi, Kuna mwenzetu mmoja kauliza swali. Wangapi wanamkumbuka muasisi wa TANU Lameck Makaranga Bugohe? Ninaweka hapa jamvini machache kuhusu shujaa huyu wa uhuru wa Tanganyika. Ijue...
0 Reactions
40 Replies
6K Views
Nadhani ni vema kuwaenzi na kuwakumbuka mashujaa wetu waliofariki kama alivyopendekeza PJ kwenye posti moja hivi. Mimi naanza: 1. Juma Kidogo 2. Baruti Mwesiga aka Kandambili 3. Profesa...
12 Reactions
183 Replies
34K Views
Kwa mtazamo wangu hawa ndio watu ambao wana ufahamu na uelewa mkubwa zaidi kuwahi kutokea Tanzania tangu tupate Uhuru! 1.Mwalimu J.K. Nyerere 2.Kambona 3.Mashilingi 4.Andrew Chenge 5.Daudi balali...
9 Reactions
175 Replies
21K Views
Mke wa Rais alipojua udhaifu wa mume wake, kwamba anampenda sana acha afanye vituko. Nchi ikasimama. Vurugu zote yeye. Nani wa kumzuia na ndiye usingizi wa Mkuu wa Nchi? Watu waliufahamu ukali wa...
15 Reactions
51 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…