Bacary Salama
Member
- Feb 14, 2017
- 52
- 32
Nilizaliwa Tanga ni mda mrefu nimemaliza miaka yangu katika jiji hili la mapenzi yalipozaliwa lakini pia nimepata bahati ya kutembea miji mingi Tanzania bara lakini sijawahi kuona mji ambao una waendesha baiskeli wengi kama mji ule pia na baiskeli ni nyingi mpaka zimekuwa biashara kama bodaboda kuna siri gani kati ya baiskeli na hili jiji la maraha?