Jamani eti binadamu wa kwanza aliishi Tanzania, ninavyo fahamu Binadamu wa kwanza ni Adamu je, Adamu aliishi hapa Tanzania? tusaidiane jamani hizi history pasua kichwa. TTB yaitangaza Tanzania eneo bora la utalii duniani
Fatilia bonde la ufa kule linapoanzia na kuishia,pia gharika ya Nuhu utagundua kuwa huyu mwanadam hakuishi TZ bali miili ya hao wanadamwa mwanzo ndo ilielea juu ya maji wakati wa gharika ya Nuhu hadi maeneo ya Tz.
Ukifukunyua historia ya bonde la ufa hata Kenya,Eritrea na Misri haya mafuvu yalipatikan mengi ndani ya hili bonde
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.