Barakaeli174
Senior Member
- Aug 2, 2015
- 171
- 142
Leo mrema ameamua kutupa ukweli, ifahamike kwamba kuna watu walijitokeza kuwalipia wafungwa waliotakiwa kulipa faini wakashindwa na hivyo kupelekwa mahabusu kutumikia kifungo, lakini walipojitokeza kuwalipia Mrema Lyatonga anasema Mwakyembe alizuia zoezi hilo kwa madai ya kwamba itawafanya wafungwa wasijutie kosa na hivyo waache ndugu zao watafute pesa waje wawatoe.
Kweli hii ni roho ya aina gani, inaelekea Mwakyembe sio mtu mzuri kabisa, unaambiwa mtu kafungwa na familia imekosa fine, sasa yeye anawakataza wafadhili kuwasaidia wafungwa dah kweli aidhani kama huyu aliyekuwa waziri wa katika ana nia njema na watanzania walio wengi, ikumbukwe aligonga mezani na kudai hakuna kulewa wala kuoa bola cheti cha kuzaliwa. Kweli wanavyo wafanyia wa tanzania watayaona kwa macho yakiwatesa