Mjue Rais wa kwanza wa Zimbabwe huru

Nathason2

JF-Expert Member
May 20, 2015
598
680
Canaan Sodindo Banana (Machi 5, 1936 - 10 Novemba 2003) alikuwa Rais wa kwanza wa Zimbabwe kutoka Aprili 18, 1980 hadi Desemba 31, 1987

Wakati wa uhai wake, Banana ndiye aliyeviunganisha vyama vya hasimu vya siasa nchini zimbabwe, Union Zimbabwe African National (ZANU) na Zimbabwe African people's Union (ZAPU), na alikuwa miongoni mwa wanadiplomasia wa mwanzo kuhimiza kuanzishwa Umoja wa Nchi Huru za Afrika,

Mwaka 1997 Canaan Banana alishikiliwa na polisi kwa tuhuma za kushiriki mapenzi ya jinsia moja. Mwaka 1998 alifungwa jela baada ya kupatikana na hatia kwa makosa ya kulawiti pamoja na kushiriki vitendo vya mapenzi ya jinsia moja, mwaka huohuo alifanikiwa kutoroka Zimbabwe kabla ya kusomwa kwa hukumu yake alitorokea South Africa baada ya kukutana na mzee Nelson Mandela, Banana alishawishiwa kurejea Zimbabwe ili akatumikie kifungo chake cha miaka kumi alikubali kurejea Zimbabwe na mnamo tarehe 18 January 1999 aliingizwa gerezani kukabili kifungo ch miaka kumi, ambacho alikitumikia kwa miezi sita tu na baadae mamlaka za zimbabwe zilimwacha huru

Alifariki tarehe 10 mwezi wa kumi na mija 2003 kwa ugonjwa wa kansa huko London uingereza.
 
Duu kweli dunia ina mengi ya kustaajbisha, yaani mtu mpaka unakua kiongozi mkubwa wa kitaifa lakini bado unafnya matendo mabaya zisiyokubaliwa na jamii yako (kula..witi, usho..ga), sasa hapo wngine wfnye nini? watajifunza nini kutoka kwako? kweli tabia ni kama ngozi
 
inasemekana eti jamaa alikuwa anamla bodyguard wake kiboga inasemekana lkn.
 
Huyu bwana pia alikiwa kiongozi wa Dini yaani askofu wa kanisa Fulani........ litafute we nwenyewe maana tunaweza kuharibiana siku.
 
Jamaa alikuwa anawasodoma walinzi wake sasa siri ilivuja baada ya mmoja kumtania mwenzake wewe si mzee anakugonga akakasirika akamimina risasi ikabidi chanzo kitafutwe
 
Matendo ya huyu bwana ni ya fedheha sana na ndilo maana hatambuliwi kuwa baba wa taifa hilo licha ya Joshua Nkomo na Mugabe wore kutambuluwa kama father's of the nation.
 
Canaan Sodindo Banana (Machi 5, 1936 - 10 Novemba 2003) alikuwa Rais wa kwanza wa Zimbabwe kutoka Aprili 18, 1980 hadi Desemba 31, 1987

Wakati wa uhai wake, Banana ndiye aliyeviunganisha vyama vya hasimu vya siasa nchini zimbabwe, Union Zimbabwe African National (ZANU) na Zimbabwe African people's Union (ZAPU), na alikuwa miongoni mwa wanadiplomasia wa mwanzo kuhimiza kuanzishwa Umoja wa Nchi Huru za Afrika,

Mwaka 1997 Canaan Banana alishikiliwa na polisi kwa tuhuma za kushiriki mapenzi ya jinsia moja. Mwaka 1998 alifungwa jela baada ya kupatikana na hatia kwa makosa ya kulawiti pamoja na kushiriki vitendo vya mapenzi ya jinsia moja, mwaka huohuo alifanikiwa kutoroka Zimbabwe kabla ya kusomwa kwa hukumu yake alitorokea South Africa baada ya kukutana na mzee Nelson Mandela, Banana alishawishiwa kurejea Zimbabwe ili akatumikie kifungo chake cha miaka kumi alikubali kurejea Zimbabwe na mnamo tarehe 18 January 1999 aliingizwa gerezani kukabili kifungo ch miaka kumi, ambacho alikitumikia kwa miezi sita tu na baadae mamlaka za zimbabwe zilimwacha huru

Alifariki tarehe 10 mwezi wa kumi na mija 2003 kwa ugonjwa wa kansa huko London uingereza.
я. ι. ρ. мя
 
Ni kweli maana huyo bodigadi alitoa ushahidi mahakamani alivyokuwa akilazimishwa...
na yy alinogewa na mchezo mbona inasemekana alikuwa akimla toka siku nyingi tu kama mugabe alivyokuwa ana mtafuna mke wa stanley Goreraza mpaka akamzalisha ndipo goreraza akashtuka na kugawa talaka kama njugu na mugabe akasogeza likawa jiko rasmi la mugabe,ukistaajabu ya canaan sodingo utayaona ya Bi Grace Mugabe.
 
я. ι. ρ. мя
FB_IMG_1491167666966.jpg
 
Back
Top Bottom