Hatima ya makonda au daudi bashite huko bungeni ni ipi?

Bacary Salama

Member
Feb 14, 2017
52
32
Nilikuwa natafakari tu nikaona niulze mwenye kujua je Rc makonda huko bungeni kwenye kamati ya maadili nini kitakachoendelea?
 
Unategemea nini zaidi ikiwa mkuu yuko nyuma yake!
Wee endelea kusaka ugali wako achana na wenye nji(nchi)
 
Naona hakuna kitu pale laiti wangekuwepo waponzani hata wawili kwenye hiyo kamati tungesikia jambo am not sure kama wapooo
 
Back
Top Bottom