Historia ya mwanadamu

Historia ya mwanadamu

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
77,972
Reaction score
165,418
Tulikotoka na tunapoeleka kunajulikana kabisaaaaaa
historia.jpg
 
kwe kweeeeeeee kweeeeeeeeeeee........hii kali
 
nimewapenda no 2 na no 3.........wametulia.....
 
Bujibuji umeua timu, nafikiri hii ipelekwe mashuleni ili watoto wakasome upya hii theory.
Ninachojifunza ni kuwa wenzetu (walioendelea) walijifunza kutoka huyo wa katikati na wakaogopa kugeuka huyo mnyama na ndio wakaamua kuweka sheria ngumu ili wasifike huko.
 
Wa 4 kama mwanachama wa ccm vile.
Kipara kikubwa.
Tumbo kubwa.
 
Aisee huyo mdudu hapo mbele ni mtamu jamani nyie acheni tu!
 
Yaani sisi wanaadamu tunajidharau kiasi hiki. Tumefika hadi kujifananisha na nguruwe!!!!! Kweli dunia inakaribia mwisho wake.
 
umenikumbusha Relwe Club, Jacana au pale karibu nu Ukumbi wa BUNGE hapo lazima ushushie na moja moto moja baridi
 
Yaani sisi wanaadamu tunajidharau kiasi hiki. Tumefika hadi kujifananisha na nguruwe!!!!! Kweli dunia inakaribia mwisho wake.

Sisi ni nguruwe, tusingekuwa nguruwe tusingekuwa hapa tulipo. Usichokitaka wewe ni kuitwa hilo jina japo unajua kuwa unastahili kuitwa hivyo. Kwani hata wale wanaouza miili ya unadhani ukiwaita majina yanayowastahili watakubali?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom