Historia ya elimu ya darasani

manigu

New Member
Jun 30, 2015
2
20
Wadau Mimi naombeni kujua historia ya elimu ya darasani, wapi ilianzia na Kwa lengo gani?
 

ANCIENT FROM EGYPT

JF-Expert Member
Oct 24, 2015
733
1,000
Haaaaaaaahaaaaaaaa elimu ilikuwepo hata kabla ya ujenzi. Kabla ya kuwa na madarasa elimu ilikuwa ikitolewa kwenye maeneo husika. Kama ni uvuvi ukifanyika majini. Na hii ilikuwa elimu ya Mwafrika. Lakini elimu ya mzungu ndio ikaja na madarasa. Kwani wazungu hawakuweza kufanya kazi juani. Hivyo wakaamua kujenha madarasa.

Haikuishia hapo, kwa kuwa kulikuwa na madarasa wakaamua kuyapa majina na ndio kukawa na darasa. Haya ndio mawazo yangu
 

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
49,990
2,000
Ilianza kwenye western world ni baada ya maendeleo ya uchumi kutoka Kilimo kwenda viwanda ndipo umuhimu wa ajira kwa wanaojua kusoma na kuandika likaongezeka hii ilipelekea kutungwa sheria kuwa watoto wote wenye umri wa kwenda shule ni lazima wasome. Kabla ya hapo watoto wa matajiri walikodiwa walimu wa kuwafundisha majumbani mwao. Wengine watajazia nyama
 

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
49,990
2,000
Mwana sosholojia Aeries na Psychologist Pieget walichangia kuleta mabadiliko katika kutoa elimu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom