Kabila la wanguu linapatikana wapi Tanzania?

May 5, 2017
9
18
Nina rafiki yangu mzungu ktk project fulani huko nchi jirani na Tz lkn anadai yeye ni jamii ya Wanguu na eti ni kabila lipatikanalo huko kwetu Tz.

Ni mkoa upi Wanguu hupatikana huko kwetu?
 
Linapatikana wilaya (mpya) ya Kilindi. Mji mkuu/ makao makuu ya wilaya hii yanaitwa Songe. Ni wilaya ilimegwa kutoka Wilaya ya Handeni na inapakana na Kiteto. Watu wa mkoa wa Tanga huwa wanawadharau sana Wanguu na hata wao hawapendi kujitambulisha kama Wanguu. Mbunge wao alikuwa hayati Beatrice Shelukindo mbunge wa sasa sijui ni nani.
 
Wanapatikana Kibaya-Kiteto.
 
Hili kabila la Wanguu linapatikana katika Milima ya Unguu na hii milima ipo Kusini Magharibi mwa Handeni ambapo ni kaskazini mwa Gairo. Pia hapo kuna Wakaguru ambao lafudhi na lahaja za Kizigua.
Vile vile maeneo ya Mlalo na Shume kuna Wasambaa wanajiita wao ni Wanguu.
 
Nina rafiki yangu mzungu ktk project fulani huko nchi jirani na Tz lkn anadai yeye ni jamii ya Wanguu na eti ni kabila lipatikanalo huko kwetu Tz.

Ni mkoa upi Wanguu hupatikana huko kwetu?
Nimevutiwa na namna ya uandishi wako..... Ndio tujue kwamba nawewe upo abroad au...
 
moja kati ya makabila vilaza ni hawa jamaa, hawana msomi hata mmoja serkaln
 
Kabila LA wanguu wapo mpakani Kati ya morogoro na Tanga yaani wapo Turiani na Handeni
Nakubaliana na wewe nimewahi sikia hivyo toka kwa wazee wangu kuwa wanguu wanapatikana Turiani ambapo kuna wazigua na hao Wanguu na hoja ya kuwa ni mpakani mwa kilindi na turiani naikubali mkuu
 
moja kati ya makabila vilaza ni hawa jamaa, hawana msomi hata mmoja serkaln
Una uhakika gani na unachoandika?Tatizo watanzania wengi mnakariri makabaila makubwa mtu akikwambia yeye Mnguu unakuewa huelewi na hivyo wengi hupenda kujitambulisha kwa makabila kama wazigua au wakaguru
 
Kabila LA wanguu wapo mpakani Kati ya morogoro na Tanga yaani wapo Turiani na Handeni
Ni kweli maeneo ya turiani moro pia wako upande.wa tanga na upande manyara,pia wako maeneo ya kiteto kwa hakika wamesambaa maana mpaka maeneo ya.dosidosi mkoa dodoma pia wako.
Mimi ni mnguu pia kwetu ni wilaya ya mvomero, kuna kijiji kinaitwa pemba au kwedihangala
 
Nina rafiki yangu mzungu ktk project fulani huko nchi jirani na Tz lkn anadai yeye ni jamii ya Wanguu na eti ni kabila lipatikanalo huko kwetu Tz.

Ni mkoa upi Wanguu hupatikana huko kwetu?

Kama sijaelewa, rafiki yako ni Mzungu jamii ya Wanguu?
 
Back
Top Bottom