Naomba kujua historia ya Patrice Lumumba na Thomas Sankara

moi alex

Member
Apr 11, 2016
17
2
Mambo vipi wapendwa

Naomba kujua historia za hawa watu wa wawili, Patrice Lumumba pamoja na Thomas Sankara Rais wa Burkina Faso.

Mimi ni yule yule mdau mpya Moi Mwakyeja toka green city Mbeya
Tafadhali wana JF
 
Patrice Lumumba (2 Julai 1925 – 17 Januari1961) alikuwa mwanasiasa mwanamapinduzi wa nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Mwaka wa 1958 alikuwa miongoni mwa waanzishaji wa Chama cha Taifa la Kongo (kwa Kifaransa: Mouvement National Congolais). Mwaka wa 1960 alipata kuwaWaziri Mkuu wa kwanza wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya kuongoza harakati za kugombea uhuru toka kwa utawala wa kikoloni wa Wabelgiji. Baada ya miezi miwili tu ya kuwa Waziri Mkuu, Lumumba alipinduliwa na baadaye kutiwa ndani kabla ya kuuawa katika mazingira ya kutatanisha katika eneo la Katanga upande wa kusini wa Kongo.
 
Noël Isidore Thomas Sankara (21 Desemba 1949 mjini Yako (Volta ya Juu; 15 Oktoba 1987 mjini Ouagadougou) alikuwa mwanajeshi na mwanasiasa nchini Burkina Faso. Kuanzia 4 Agosti 1983 hadi kuuawa mwezi wa Oktoba 1987 Sankara alikuwa rais wa tano wa Volta ya Juu au Burkina Faso.

MWANAJESHI NA MWANASIASA.

Sankara alipanda ngazi ya kijeshi hadi cheo cha kepteni, Pamoja na mwanajeshi mwenzake Blaise Compaore alishiriki katika shirika ya siri ya "maafisa wakomunisti" waliolenga kupambana na ufisadi.

1981 alikuwa waziri wa mambo ya ndani katika serikali ya kijeshi ya rais Jean-Baptiste Ouédraogo na kupandishwa cheo kuwa waziri mkuu kwa miezi michache kuanzia Februari 1983. Mwezi wa Mei alikamtawa na kutiwa mbaroni. Mapinduzi ya kijeshi yaliyoongozwa na Blaise Compaore yalimfanya kuwa mwenyekiti wa kamati ya mapinduzi na rais wa 5 wa Volta ya Juu.

URAIS

Sankara alibadilisha jina la nchi kuwa Burkina Faso. Alijulikana hasa kwa amri yake ya kuwa mawaziri na maafisa wote wa serikali yake wasitumie magari makubwa bali gari ndogo aina ya Renault 5 ilikuwa gari la bei ya chini iliyopatikana nchini.

Menginevyo alishirikisha wanawake wengi katika serikali yake akapiga marufuku tohara kwa wanawake.

MWISHO.

Mwaka 1987 alipinduliwa na wanajeshi wenzake na kuuawa. Blaise Compaore akawa rais badala yake.
 
Mambo vipi wapendwa

Naomba kujua historia za hawa watu wa wawili, Patrice Lumumba pamoja na Thomas Sankara Rais wa Burkina Faso.

Mimi ni yule yule mdau mpya Moi Mwakyeja toka green city Mbeya
Tafadhali wana JF
Patrice Lumumba alizaliwa na François Tolenga Otetshima, na Julienne Wamato Lomendja, ambao walikuwa wafugaji katika kijiji cha Katakokombe katika mkoa wa Mkoa wa Kasai katka jimbo la Kanyalwaunga.

Alikuwa mwanachama wa Kikundi cha nidhamu jina harisi la Patrice Lumumbalilikuwa Élias Okit'Asombo.

Jina hili likiwa na maana "heir of the cursed"ambalo lilitokana na neno la Tetela ambayo ni miongoni mwa makabila ya congo('Mrithi')

Alikuwa na kaka za watatu ambao ni (Charles Lokolonga, Émile Kalema, and Louis Onema Pene Lumumba) na ndugu yao wa karibu (Tolenga Jean).

Alilelewa katika makuzi ya familia ya Kikatolic, alisoma katika shule ya msingi ya Shule ya Protestant, Shule ambayo ilikuwa inamilikiwa na wamisionari wa Kanisa Katoriki, na baadaye alipata mafunzo katika chuo kimoja cha serikali.

Alijishindia kozi mbalimbali na kisha kuajiliwa, alipata kazi katika mji waLéopoldville ambao kwa sasa unajulikana kwa jina la Kinshasa) na baadaye katika mji wa Stanleyville ambao nao kwa sasa unajulikana kwa jina laKisangani

Ambapo alifanya kazi kama kalani wa posta na pia alikuwa akifanya kazi ya uuzaji wa bia kwa wasafiri.

Mnamo mwaka 1951 alimuoa Pauline Opangu .

Mwaka 1955 Lumumba alipanda cheo na kuwa Cercles wa mji waStanleyville na baadaye alijiunga na chama cha Liberal Party of Belgium, ambapo alifanya kazi ya uharariri na usambazaji wa kijarida cha chama cha Chama cha Kiliberali cha Ubeljiji.

Na baadaye alifanya ziara ya mafunzo ya wiki tatu nchini Ubeljiji.

Mwaka 1956 alikamatwa na kushitakiwa kwa kosa la ubadhilifu na kuhukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa kifungo cha nje na kisha baadaye wakili wakili wa kibaljiji kuthibitisha kwamba Lumumba amesharejesha zile fedha aliachiliwa huru mnamo mapemwaka 1956.

Na baada ya kuachiliwa kwake alisaidiwa na kuanzisha chama chama :Mouvement national congolais (MNC)

Mnamo. Mwaka 1958, alichaguliwa kuwa Rais wa chama hicho.

Mnamo mwaka 1958 mwezi wa Desemba Lumumba na wenzake walikiwakilisha chama chao katika mkutano wa :All-African Peoples' ConferenceBaraza la watu wote wa Africa mjini Accra, Ghana,

Katika mkutano huo wa Desemba wa Pan-African uliokuwa chini ya Rais wa Ghana hayati Kwame Nkrumah ,

Ndg Lumumba ambaye alionekana kuongea lugha nyingi zikiwemo za Tetela, French, Lingala, kiswahili, na Tshiluba alijitambulisha zaidi dhidi ya imani yake kwa bara la afrika .

Uongozi wa MNC

Mnamo mwezi wa octoba, mwaka 1959, Lumumba, kama kiongozi wa chama cha MNC, alikamatwa kwa kosa la kuchochea vurugu zakupinga serikali ya kikoloni katika mji wa Stanleyville ambapo watu takriban 30 waliuawa na yeye alihukumiwa kwenda jela cha miezi sita.

Mnamo tarehe 18 ya mwezi January 1960 ambayo ilikuwa siku ya majaribio na hapohapo katika siku ya kwanza ya mkutano wa wa kuzungumzia hatma ya nchi ya kidemokrasia ya Congo itakumbukwa kwamba licha ya Lumumba kuwa jela katika kipindi hicho cha chake cha MNC kilifanikiwa kuwashawishi wananchi kwenye uchaguzi uliofanyika mwezi Decemba na kushinda katika jamhuri ya Congo.

Kutokana na nguvu ya umma iliyokuwa ikifanywa na wananchi wa Congo dhidi ya kuachiliwa kwa Lumumba kutoka kila kona, aliachiliwa na kuruhusiwa kuhudhuria katika mkutano wa Brussels.

Mkutano huo ulifikia kilele tarehe 27, June 1960 kwa azimio la uhuru wan chi ya Congo na kupanga uchaguzi tarehe 30 ya mwaka huo huo wa 1960 Uchaguzi Mkuu wa Congo 11–25 May 1960.

Lumumba na chama chake cha MNC walipata ushindi uliowawezesha kuunda serikali kwa tangazo la tarehe 23 June 1960 na Patrice Lumumba anapata cheo cha uwaziri mkuu akiwa na umri wa miaka 34 na Joseph Kasa-Vubu akiwa ndie Rais wake wa kwanza. Kwa mujibu wa katiba ya Congo mnamo tarehe 24 June Serikali ilipitisha kura ya kijasiri ambayo iliamuliwa na baraza la maseneta kwamba tarehe 24 iwe ni siku ya ya kuadhimisha uhuru wa Congo.

Maadhimisho ya uhuru wa Congo kwa mra ya kwanza yalifanyika mnamo tarehe 30 June 1960 ambapo maadhim,isho hayo yalihudhuriwa pia na Mfarme BaudouinwaUbeljiji pamoja na vyombo mbalimbali vya habari kutoka nchi za nje. Lumumba alitoa hotuba yake kama Waziri mkuu katika nchi huru japo yeyre alikuwa ameenguliwa katika ratiba ya shughuli hiyo.

Hotuba ya Mfalme wa Ubeljiji Mfalme Baudouin alihutubia kwa kutukuza utawala wa kikoloni, huku akilingania fikra za mjombae ambae alikuwa mfalme wa Ubeljiji akiitwa Léopold wa Piliglossing over atrocities committed during theTaifa huru la congo.
Mfalme aliendelea kutoa masharti, "aliwataka kuto kufanya mabadiliko yoyote mpaka hapo wao watakapo ona kwamba wanaweza kufanya vyema, na kwamba hawakutakiwa kufanya mabadiliko yoyote yalika bidhiwa na kwamba tutaendelea kutoa ushauri. " Lumumba aliufahamisha umma kwamba uhuru uliotolewa na wabeljiji sio haukuja hivihivi:
 
Haya

Ndo majibu tunategemea kupata humu JF safi sana mkuu
 
Patrice Emery Lumumba alizaliwa 02/07/1925 Kiongozi wa kwanza kuchaguliwa kidemokrasia Jamhuri ya Kongo.
 
Asante
 
Go on......
Tuambie aliuwawa vipi, lini, kwanini na wapi?
kisha tueleze huyu Joseph Kasa-Vubu aliishia wapi na yeye. Ulianza vizuri hadi nikafurahi ila malizia hayo maswali ili uhitimishe vizuri.
 
HUYU NDO THOMAS SANKARA RAIS MASKINI KULIKO WOTE KUWAHI KUTOKEA BARANI AFRIKA, MWENYE UZALENDO WA KUSHANGAZA.

Mnamo august 1983, vijana wawili, makapteni wa jeshi na wanamapinduzi, Thomas Sankara na Blasius Compaore, waliipindua serikali ya Rais wa wakati huo katika nchi iliyokuwa ikijulikana kama Upper volta, rais huyu aliitwa Baptiste Ouedraogo.

Vijana hawa wakiwa katika fikra za Karl Max, wakiwa na ndoto nyingi za kuijenga Upper volta, walibadili kabisa historia ya taifa hilo, walibadili jina la nchi na kuitwa Burkina faso, maanake nchi ya watu, country of honorable citizen.

Uchapakazi wa vijana hawa (Sankara na Compaore), Thomas sankara akiwa ndiye rais unaweza kufananishwa na ule wa Fider Castrol na Che Guavera, kabla haujachuja kule Cuba..

Haiyumkini Sankara alikuwa anatumia baiskeli kutembelea vijijini kuhimiza maendeleo, wakati pacha wake (Compaore) wakiwa kama pete na kidole.

Urafiki wa makapteni hawa wa jeshi la Burkinabe, ulikuwa mkubwa kiasi ambacho, wakati wanausalama walipomwambia Sankara kuwa Compaore ana mpango wa kumpindua na kumuua, yeye aliwajibu kuwa compaore asingeweza kufanya hivyo, labda mtu mwingine.

Blaise Compaore alikutana na Thomas Sankara mwaka 1976 katika mafunzo ya kijeshi Morocco na hapo walianza urafiki wao uliokuwa wazi kwa karibu watu wote waliokuwa wakiwafahamu nchini Burkina Fasso na nchi jirani.

Thomas Sankara alikuwa akiwaeleza wanausalama wake kuwa, hata kama Compaore angetaka kufanya hayo, hakuna wa kumzuia.

Ni wazi kuwa Kapteni Thomas Isidore Sankara alikuwa karibu sana na Blaise Compaore, kwa kiasi ambacho Blaise Compaore alikuwa sehemu ya maisha ya kila siku ya Sankara.

kama ilivyotabiriwa na watu wengi wa karibu wa Thomas Sankara, Blaise Compaore aliongoza mapinduzi yaliyosababisha kifo cha Sankara mnamo mwaka 1987, na yeye mwenyewe (Compaore), huku akishuhudia rafiki yake kipenzi Sankara akiuwa, Akawa ndiye mrithi wa kiti cha Urais wa iliyokuwa Upper Volta baadaye Burkina Fasso.

Thomas Isidore Noël Sankara ni nani??

Isidore Noël Thomas Sankara alizaliwa tarehe 12.12.1949 Mjini YOKO katika nchi iliyokuwa ikiitwa Upper Volta (Volta ya juu) na kuuawa tarehe 15.10.1987 na wanajeshi wenzake wakiongozwa na rafiki yake Rais Blaise Compaore katika mapigano ya usaliti yaliyotokea Mjini Ouagadougou akiwa katika kikao cha utendaji wa kazi.

Thomas Sankara alipanda ngazi za kijeshi hadi cheo cha kaptenu pamoja na mwanajeshi Rafiki yake Blaise Compaore ANAYEJUA SIRI YA KIFO CHA CHA THOMAS SANKARA .

Kuna nyakati ambazo Blaise Compaore alipata kunena kwa kinywa chake katika shirika la kutetea haki za Binadamu duniani kwamba “kifo cha Thomasi Sankara kilikuwa ni ajali tu.

Mwaka 1981 Thomas Sankara alikuwa waziri wa mambo ya ndani katika serikali ya kijeshi ya Rais wa wakati huo wa Burkinabe ya zanani (Upper Volta) Jean Baptiste Major. Dr. na baadaye aliteuliwa kuwa waziri mkuu kwa kipindi cha kuanzia Mwezi Januari 1983 mpaka mwezi Mei alipokamatwa na kutiwa mbaroni na serikali ya Rais Major Jean Baptiste Dr kutokana na msimamo wake juu ya ukombozi kwa watu wote wa Volta ya Juu na kupendelea Marxist Revolution theories.

Thomas Isidore Noël Sankara alikuwa Rais wa Upper Volta (Volta ya Juu) kuanzia mwezi Agosti 4 1983 hadi mwezi Octoba 15 1987 baada ya mapinduzi ya kijeshi dhidi ya Major Dr Jean Baptiste yakiongozwa na Blaise Compaore na kuwa Rais wa TANO wa VOLTA YA JUU au BURKINA FASO baada ya kubadilishwa jina na Sankara.

Thomas Sankara aliyejulikana kama Che – Guevara wa Afrika alianzisha Program mbalimbali za kijamii na kiuchumi kuleta mabadiliko katika nchi za Afrika. Alibadilisha Upper Volta na kuwa Burkina Faso (land of Upright Men).

Alianzisha kampeni ya kuboresha Elimu na kutanua
Huduma za Afya kwa watu wa Burkina Faso maeneo ya vijijini hasa kwa watoto walio athirika na magonjwa ya Uti wa mgongo , Homa ya manjano, na surua.. na watoto karibu milioni 3 walipata tiba hizo..

Pia alianzisha kampeni ya upandaji wa miti kitaifa, na takribani miti Milioni kumi ilipandwa nchi nzima..

Pia alianzisha kampeni ya usafi nchini kote, kila mwananchi alipaswa kufanya usafi eneo alipo na Sankara mwenyewe alikuwa anashika fagio na kuingia barabarani kufanya usafi. Hiyo ni kampeni iliyoitwa mfagio wa mwananchi (le balai citoyen).

Aliongeza idadi ya wanawake katika serikali yake, ikiwa ni kampeni yake nchi nzima kupinga tohara kwa wanawake, pia alianzisha kampeni na baadae utaratibu wa kisheria wa kuwataka wasichana waliopata mimba wakiwa mashuleni kuendelea na masomo pia akaajiri wanawake jeshini, akawapa ajira katika sekta za umma ili kupunguza unyanyasaji wa kijinsia na kuleta uwiano na usawa nchini Burkina Fasso.

Pia ndoa za wasichana wadogo na za kulazimishwa haswa za kimila katika maeneo mengi ya Burkina Fasso zikapigwa marufuku.

Thomas Sankara ambaye hakutaka makuu kabisa na wananchi wa Burkina Fasso. Akiwa kama Rais wa nchi, alivaa nguo zilizotengenezwa Burkina Faso badala ya suti kutoka Paris na London. mara nyingi alionekana akiwa kwenye gwanda la jeshi.

Pia Thomas Sankara alifuta matumizi ya magari ya kifahari kwa viongozi na watumishi wote wa umma, yeye kama Rais alikuwa akitumia baiskeli au miguu kwenda kwa wananchi vijijini kuhimiza na kusimamia shughuli za kimaendeleo.

Alijikita sana kwenye kusimamia na kukuza sekta ya afya katika Burkinabe, alihimiza watu kujihusisha na kilimo akiwapelekea zana za kilimo na pembejeo bure kwa watu wa vijijini na kugawa ardhi kwa wananchi ili wajihusishe na kilimo.

Kwa muda mfupi sana akiwa kama Rais wa Burikna Fasso, aliweza kuifanya nchi hiyo kuagiza chakula kutoka nchi za nje na kuifanya nchi hiyo kuanza kuuza vyakula vyake nje akaanza kuifanya Burkina Fasso kuwa imara kiuchumi.

Sankara aliwahimiza watawala wa Afrika waache kuwaibia wananchi, waache kutegemea sadaka kutoka nje.

Sankara akawaambia madeni ya Afrika hayana uhalali kwa vile yalitokana na mikataba mibovu.

Ndio maana hakuna maendeleo yaliyotokana na mikopo ya kigeni.

Sankara akataka Afrika iache kulipa madeni yasiyolipika.

Mwalimu Nyerere naye wakati huo alisema mtu hawezi kulipa madeni wakati watoto wanakufa njaa.

Thomas Sankara alisema ukitaka kujua maana ya ubeberu angalia sahani yako ya chakula, utaona kila aina ya chakula unachokula kinatoka nje. Ndipo akahimiza Afrika ijitegemee kwa chakula, akisema: "Anayekulisha anakutawala"

Thomas Isidoré Nöel Sankara ni wazi aliwakasirisha sana mabeberu wa kimagharibi, hasa ubeberu wa Kifaransa uliokuwa ukitawala kupitia vibaraka wake wa Afrika kama Rais Felix Houphouet- Boigny wa Ivory Coast.

Chini ya uongozi wake (Thomas Sankara), Burkina Faso ililima chakula chake badala ya kuagiza kutoka nje.

Kwa hatua hiyo, Thomas Sankara akawa amewaudhi wakubwa wa dunia (mabeberu) kwa kukataa kwake mipango ya kurekebisha uchumi ya Benki ya Dunia (WB) na Shirika la Fedha Duniani (IMF) huku hoja kubwa ya sankara ikiwa ni kwamba, mipango hiyo ni ya kinyonyaji.

Thomas Sankara aligawa ardhi kwa wakulima wadogo baada ya kuchukua kutoka kwa wawekezaji wa nje ambao walikuwa wameipora baada ya kupewa na uongozi uliopita.

Katika huduma za jamii alileta mabadiliko makubwa katika huduma za elimu, afya, maji na kuboresha miundombinu ya barabara kuunganisha sehemu mbalimbali za nchi hiyo.

Sankara katika kuhakikisha kuwa rasilimali za nchi zinahudumia wanachi wa kawaida, Sankara alipambana na rushwa, ufisadi na ubadhirifu wa mali ya umma, huku akimtaka kila mwananchi kujituma kulijenga taifa.

Thomas Sankara alikuwa mtu anayechukia rushwa na ufisadi, uvivu, uzembe, dhuluma na unyonyaji wa wananchi na rasilimali zao. Alitaka kuona watu wake wakifaidika kwa rasilimali za nchi yake.

Huyu ndiye Thomas Sankara ambaye alipunguza mshahara wake hadi dola 450 kwa mwezi, ambaye alitembea kwa baskeli katika mitaa ya Ouagadougu bila ya kulindwa. Alipoulizwa kwanini hana walinzi alisema wananchi ndio walinzi wake, hivyo hahitaji kuambatana na wanajeshi wenye bunduki.

Washauri wake mara kwa mara walimshawishi aachane na matumizi ya baisikeli.

Akaamua kutumia gari lenye bei ya chini (Renault 5) badala ya msururu wa mashangingi kama tuonavyo leo katika Afrika...

Hata hivyo alibaki na baiskeli yake mpaka alipokutwa na mauti, na akaunti yake ya benki ilikutwa na akiba ya dola 400 ambayo ni sawa na Tsh 850, 550/= (laki nane elfu hamsini na tano namia tano hamsini), kwa sasa, badala ya mabilioni mengi kama wanayoficha huko Uswisi watawala wetu leo.

Kumbuka, Thomas Sankara amedumu kwenye uongozi kwa kipindi cha miaka 4 pekee kabla ya mapinduzi yaliyoongozwa na Rafiki yake kipenzi. Blaise Compaore ambaye aliondoka na uhai wake, lakini kwa kipindi hiko cha miaka 4 akihudumu kama Rais, alitengeneza mageuzi makubwa sana.

Ndoto kubwa ya kila siku ya Thomas Sankara, ilikuwa ni kuifanya Burkinafasso kuwa moja kati ya mataifa makubwa Afrika kiuchumi.

Thomas Sankara alikataa hata picha yake (yeye kama Rais) kutundikwa katika majengo, na taasisi za serikali alisema hataki kutukuzwa.

Sankara alikuwa akipokea mshahara wa dola 450 kwa mwezi, mshahara mdogo kuliko viongozi wote barani Afrika kwa wakati huo.

Huyu ndiye Thomas Isidore Noël Sankara anayejulikana kama Ernesto Che Guevara wa bara la Afrika (alikuwa akivaa mavazi kama Che Guevara, mwenendo, matendo na malengo yake yalifanana na Ernesto Che Guevara, pia walikuwa marafiki wakubwa), aliyeiongoza nchi kwa muda wa miaka minne kabla ya kuuliwa na maadui wa mapinduzi wakiongozwa na kapteni Blaise Compaoré Aliuliwa nyakati za usiku na mara moja akazikwa kwa haraka. Ernesto Che Guevara naye alikuwa mwanamapinduzi wa Marekani Kusini aliyeuliwa na majasusi wa Marekani (CIA) na kisha kuzikwa kisirisiri.

Thomas Sankara aliyekuwa muumini wa fikra za kupigania Umoja wa Afrika au Pan Africanist mara nyingi alionekana kutopendwa na mataifa ya magharibi kutokana na fikra zake za kupinga dhuluma za wakoloni kunyonya watu wanyonge.

Mwaka 1985, Thomas Sankara alikaririwa akisema kuhusu falsafa yake kisiasa iliyokuwa maarufu, ilikuwa ikisema;

‘you cannot carry out fundamental change without a certain amount of madness’, yaani kwa tafsiri isiyo rasmi, hauwezi kuleta mageuzi ya msingi bila kuwa na kiasi fulani cha ukichaa ndiyo maana mabeberu walieneza propaganda kwamba Sankara ni kichaa anayeingoza Burkina Fasso.

Pamoja na yote na mengi mazuri, wapinzani ndani na nje ya nchi ya Burkinafasso, walisikika wakimlaumu Sankara kwa kupiga marufuku vyama huru vya wafanyakazi na vyama vya siasa.

Pia Sankara alianzisha Mahakama za wananchi ‘people’s revoluntionary tribunals’ ambazo zililenga kutoa hukumu kwa wapinga mapinduzi, wafanyakazi wazembe Jambo ambalo lilileta hamasa ya watumishi wa umma kufanya kazi kwa nguvu wakiogopa hukumu.

Ila hatua hiyo ilipigwa vita saba na wapinzani wake.

Kumbukumbu kubwa ya wananchi wa Burkinabe (Burkina fasso), kuhusu Kapteni Thomas Sankara, ilikuwa ni wiki moja kabla ya kuuwawa kwake alitabiri, na alikaririwa akisema:

“Wanamapinduzi wanaweza kuuliwa, lakini fikra za kimapinduzi zitaendelea kuishi daima”

Hapo alikuwa akinukuu maneno ya Mwanamapinduzi maarufu Duniani, Ernesto Che Guevara ambaye aliwahi kusema..

“Revolutionaries and individuals can be murdered, but ideas never die.”

Thomas Sankara alifariki Oktoba 15 mwaka 1987 baada ya kupinduliwa na Blaise Compaore kuchukuwa utawala nchini Burkina Faso kwa muda wa miaka 27.

Inafahamika kwamba, kwa mara ya kwanza mwaka 1997, familia ya marehemu Thomas Isodoré Noël Sankara, ilifikisha ombi la kutaka mwili wa Sankara ufukuliwe ili ufanyiwe uchunguzi.

Taarifa zinafahamisha kuwa serikali ya Blaise Compaore ilitupilia mbali ombi kutoka familia ya Thomas Sankara la kutaka kufanyike uchunguzi kuhusu kifo cha Sankara.

Kwa mujibu ya ripoti ya kifo cha Thomas Sankara, serikali ilifahamaisha kuwa Thomas Sankara alifariki kifo cha kawaida.

Familia ilitaka kufahamu kama ni kweli katika kaburi hilo ndipo mwili wa Thomas Sankara ulipohifadhiwa.

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom