Jukwaa la Historia

On JF:

Gazeti la Uhuru la leo Jumanne 18 Desemba 2018 limachapa makala ya mwendelezo kuhusu mgomo wa makuli wa Dar es Salaam mwaka 1947 mgomo na harakati ambazo ndizo zilipelekea Abdul Sykes kuja...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Give a brief account of Uganda -tanzania war of 1978/79.focus on the causes, stages of the war ,brigade name ,comanders participate in tz and lessons. Please anyone who can help me this contact me...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Bwana Edward Heath alikuwa mwanasiasa aliyefanikiwa kuingoza nchi yake chini ya chawa cha Conservative kuanzia 1970-1974. Pamoja na mafanikio yake makubwa ni maisha katika maisha yake binafsi...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika kufuatilia historia yangu, ukoo wangu na baadhi ya watu maarufu wanaonizunguka ndipo nikagundua kuwa, kumbe 'Nyerere' ni jina la utani! Nyerere ambaye alikuwa ni chifu wa pili wa Butiama...
2 Reactions
7 Replies
4K Views
Kitabu hicho hapo juu ni moja ya vitabu katika mradi wa Oxford University Press (OUP) wa kufundisha wanafunzi wa shule za msingi lugha ya Kiingereza lakini pia wakati huo huo kuwafundisha...
4 Reactions
10 Replies
3K Views
Leo katika maziko ya Mzee Kitwana Kondo niliombwa nizungumze maneno machache kuhusu mzee wangu huyu. Ukweli ni kuwa nilikuwa nimeshtukizwa kwani sikutaarifiwa kabla kuwa niko katika orodha ya...
3 Reactions
17 Replies
4K Views
Unakumbuka Tarehe na Mwezi Kama Wa Jana Mnamo Mwaka 1961 Lt. Alexander Gwembe Nyirenda Ndio Alikua Mzalendo Wa Kwanza Kupandisha Bendera Ya Tanganyika Juu Ya Mlima KILIMANJARO Miaka 57 Iliyopita...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nani angeamini kuwa baada ya Rais kuitumikia nchi kwa miaka minne na kuweka miundo mbinu ya demokrasia bila kuiba hata shilingi moja angejikuta akifadhiliwa na mama yake kwenye mabanda...
1 Reactions
222 Replies
72K Views
Mohamed Said Historia, Siasa na Maendeleo Tanzania Mwanzo Uchunguzi Taazia Nyakati Makala Historia Mohamed Said June 07, 2017 0 Amenipigia simu mhariri wa gazeti moja...
14 Reactions
39 Replies
8K Views
Mohamed Said: NYERERE DAY 2017: TUNAMKUMBUKA BABA WA TAIFA NA MASHUJAA WENZAKE
4 Reactions
1 Replies
3K Views
Kurasa kutoka shajara ya Mwandishi, May 1991, London Leo alfajir nilikuwa napitia maktaba yangu nikakumbana na shajara (diary) yangu ya 1991. Hapo juu ni ukurasa wa tarehe 9 May. Huyo...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Nani anayajua majina ya wanawake hawa wanne wanachama wa mwanzo wa TANU na wanawake waliomsindikiza Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam safari ya kwanza UNO 1955...
4 Reactions
24 Replies
7K Views
Kulia Bi. Chiku Kisusa (Mama Sakina), Bi. Titi Mohamed, wa kwanza kushoto Bi. Tatu bint Mzee wakiwa na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam safari ya...
7 Reactions
4 Replies
3K Views
Shajara ya Mwana Mzizima: TAARABU NA UHURU WA TANGANYIKA Na Alhaji Abdallah Tambaza Mwalimu Subeti Salum Subeti (1903 - 1974) mmoja katika wapiga fidla (violin) maarufu wa Egyptian katika...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
SHAJARA ZA VITA ZA LANCE CORPORAL KLEIST SYKES (1894 - 1949) VITA VYA KWANZA VYA DUNIA 1914- 1918 Utangulizi November 11, 1918 ndiyo siku Vita Vya Kwanza Vya Dunia...
4 Reactions
12 Replies
3K Views
Ni Ni miaka mitano sasa tokea kuuwawa kwa Gaddafi, walibya waliamini uhuru wao na maendeleo yapo katika kumuangusha kwake lakini toka kuuwawa kwake nchi haina Amani tena imepoteza nguvu na...
5 Reactions
10 Replies
7K Views
Jina kamili : Ernesto Guevara Kazi : Daktari, mwanamapinduzi wa kijamaa (marxist) Uraia : Argentina Kuzaliwa : June 14 1928 Kufariki : October 9, 1967 ,Bolivia milima ya La heguera Chanzo cha...
6 Reactions
15 Replies
8K Views
Unamfahamu Mzee Lawi Nangwanda Sijaona? Leo angekuwa anatimiza miaka 90. Tupate wasifu wake ulioandikwa na Kamaradi Victor Richard _______ KOMREDI LAWI NANGWANDA SIJAONA: MZALENDO, MWADILIFU NA...
4 Reactions
11 Replies
48K Views
Hawa watu hupatikana katika nchi ya Myanmar zamani Burma,wanawake wa kikayan huanza huzivaa bangili za shingoni,wakiwa bado wadogo sana Shingo za wanawake hawa hurefuka kiasi cha kwamba...
4 Reactions
114 Replies
24K Views
John Pombe Joseph Magufuli (amezaliwa 29 Oktoba, 1959) ni rais wa tano wa Tanzania. Anatokea katika chama cha CCM. John Pombe Magufuli John Pombe Magufuli John Pombe Magufuli Rais wa Tanzania...
3 Reactions
10 Replies
13K Views
Back
Top Bottom