Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,595
- 215,272
Bwana Edward Heath alikuwa mwanasiasa aliyefanikiwa kuingoza nchi yake chini ya chawa cha Conservative kuanzia 1970-1974. Pamoja na mafanikio yake makubwa ni maisha katika maisha yake binafsi bwana Heath hakujaliwa kuoa au kuwa na mtoto.
Baada ya kifo chake nyumba yake imegeuzwa kuwa makumbusho yake.
Kwa minong’ono ya chini inasemekana bwana Heath alikuwa shoga. Aliamua kutokuweka wazungu hisia zake ili kulinda nafasi yake ya kisiasa kwani miaka ya 70 wengi wasingekubali kuongozwa na waziri mkuu shoga.
Hii inaonyesha jinsi ushoga usivyokubalika kwa wengi lakini hasa miaka ya nyuma.
Nyumba aliyoiacha bwana Heath huko Salisbury, Wiltshire.
Nyumba ya bwana Heath inabidi iuzwe kutoka a na kupungua kwa idadi ya wageni wanaokwenda kuangalia makumbusho.
Picha na vito vya thamani pia vitauzwa na pesa zitapelekwa charity. Bwana Heath hakuwacha mrithi wa mali zake.