For more than 300 years, Cleopatra's family ruled Egypt. She was born the third child of King Ptolemy XII in 69 BC. Her name meant "glory of the father". Cleopatra's two older sisters died before...
Safari ya kwanza ya Nyerere UNO 1955 katika picha hizo hapo juu ndiyo waliomsindikiza uwanja wa ndege kulia picha ya juu ni Bi. Tatu bint Mzee, Bi. Titi Mohamed, kulia ni Bi. Chiku bint Said...
1.Alizaliwa tarehe 13/04/1922 Butiama na kufariki tarehe 14/10/1999 kule London.Ni Raisi wa kwanza Afrika kuachia madaraka kwa hiari yake mwenyewe.
2.Ni Raisi wa kwanza kuhama Ikulu na kwenda...
Wana ukumbi,
Utumwa ni kosa kubwa la kibinadamu. Anayemkamata mwanadamu mwenzie na kumuuza kama bidhaa ni dhalimu bila kujali ana taswira gani katika jamii. Kiujumla watu WEUSI ndio kihistoria...
Historia ya Algeria
Historia ya Algeria inahusu eneo la Afrika Kaskazini ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Algeria.
Historia ya kale ya Algeria
Historia inayojulikana ilianza na...
Tukianzia kwenye miaka ya kiza mwenye nguvu ndie atawale. Vita inapotokea baina ya nchi na nchi au kabila hili na kabila lile, wale watakao shindwa vita, hao huchukuliwa kama mateka. Hivyo...
“Kama utaweza kuwatenganisha watu mbali na historia yao, basi utaweza kuwaongoza unapotaka kwa urahisi” karl max
kupotoshwa kwa historia kumempotosha mwanadamu kuliko kingine chochote kinacho...
Miaka ya Nyuma Mabaharia waasi maarufu walioizamisha meli ya Kiingereza iliyoitwa Bounty waliishia kufanya makazi yao wakiwa pamoja na wanawake, wenyeji wa eneo lile katika kisiwa cha Pitcairn...
HIVI NDIVYO "OPERATION DESERT STORM PHASE II", ILIYO ONGOZWA NA MAREKANI ILIVYO TAMATISHA UTAWALA WA SADDAM HUSSEIN ABD AL-TIKRITI NCHINI IRAQ.
Na. Comred Mbwana Allyamtu
Monday -13/8/2018...
Wapare ni kabila kutoka milima ya Pare Mkoa wa Kilimanjaro kaskazini mwa Tanzania. Lugha yao ni Kipare au Chasu).
Wapare wanatokea katika wilaya za Same na Mwanga, mkoa wa Kilimanjaro lakini pia...
"OPERATION COLD CHOP" ILIYO RATIBIWA NA CIA, ILITAMATISHA UTAWALA WA OSAGYEFO KWAME NKRUMAH NCHINI GHANA.
Na.Comred Mbwana Allyamtu
Saturday -5/1/2019
"Operation Cold Chop" ndio ilikuwa code...
"OPERATION STORMED MENGO", NI OPERATION ILIOSUKWA NA MILTON OBOTE KUTAMATISHA UTAWALA WA BAGANDA, NA KUMPINDUA EDWARD KABAKA MUTESA II.
Na. Comred Mbwana Allyamtu
Friday -25/1/2019...
Habari zenu wakuu. Nimekuwa nikisikia habari kuhusu hii vita na jinsi Tanzania ilivyolisapoti hili jimbo katika kujitenga kutoka Nigeria. Nimepata kusoma mahali kuwa vita hivi vimepiganwa kwa muda...
HISTORIA ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) inakifanya kutumia taasisi za dola ikiwa ni pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama katika kutisha, kutesa, kunyamazisha na kudhoofisha upinzani wa kisiasa au...
Na Ahmed Rajab
ALIZALIWA Marekani katika mji wa Pittsburgh, Texas. Mama yake akiitwa Catherine Bell Miles na baba yake akiitwa Leo Clington Aldridge Sr. Wazazi hao, Wamarekani wenye asili ya...
Gazeti la Hoja (Ijumaa, 22- 26, Novembe 2019) kuna makala ya Suleiman Kumchaya kuhusu historia ya TAA na TANU ambayo ina makosa sawasawa na makosa katika makala ya Mzee Pius Msekwa iliyochapwa...
Mrima (kwa Kiingereza: Mrima Coast) ni jina la sehemu ya pwani ya Afrika ya Mashariki inayotazama Zanzibar. Wenyeji wake walijulikana kama Wamrima ilhali kati yao walikuwa watu wa makabila...
VITA VYA MAJIMAJI MPAKA JINA LA SONGEA
SEHEMU YA KWANZA
JINA la Songea limekuwa maarufu kiasi cha kuwafanya baadhi ya watu kudhani kuna mkoa unaitwa Songea.
Ukweli ni kwamba Songea ni wilaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.