Jukwaa la Historia

On JF:

ANTONINE PLAGUE (165 AD) daeth toll: 5 million cause: Unknown Location: Rome ( uliambukizwa na askari ya waliofika Rome kutoka mesopotania- 165AD) maeneo yaliyo athirika zaidi Greece, egypt...
5 Reactions
29 Replies
6K Views
Makambako ni sehemu maarufu Sana hapa nchini kwakuwa ipo katika njia panda ya kwenda Mbeya, Songea na Iringa Makambako kwa Sasa inapatikana katika mkoa wa Njombe HISTORIA YAKE Kipindi cha ngoni...
13 Reactions
39 Replies
11K Views
WAMAKONDE na Wameto wa Msumbiji wanaishi katika Mkoa wa Cabo Delgado Kaskazini-Mashariki mwa nchi hiyo na Wamakonde wa Tanzania wanaishi zaidi katika wilaya zote za Mkoa wa Mtwara ila Masasi na...
2 Reactions
17 Replies
13K Views
Samahani wadau ambao ni manguli wa historia, naomba mnipe ukweli kuhusu mwisho wa vita ya pili ya dunia na kifo cha adolph hitra na alizikwa wapi??? Nisaidieni hili
4 Reactions
50 Replies
20K Views
Mbunifu wa bunduki aina ya AK 47, iliyomuua Rais Abeid Amani Karume Mikhail Timofeyevich Kalashnikov APRILI mwaka 1972, Rais Abeid Amani Karume wa Zanzibar, aliuawa akiwa anacheza bao na...
15 Reactions
61 Replies
39K Views
Huyu ndiye Mehmet Emin Pasha ambao ni jina la kupewa...Eduard Schnitzer ndio jina lake halisi... hawa ni wenzake akiwemo Mwandishi wa habari na mtafiti...Mwingereza... Henry Morton Stanley...
4 Reactions
12 Replies
4K Views
PROF. AHMED MUHIDIN ANAMUELEZA MWALIMU NYERERE Katika maisha yangu nimekutana na watu ambao kwa muda mchache sana wa mazungumzo sikuchukua muda mrefu kutambua kuwa mbele yangu nina kisima cha...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
MACHIMBO YA MFALME SULEIMAN HAYAFUI DAFU MBELE YA MACHIMBO YA PROF. AHMED MUHIDIN #21 Auz said: Hazina ya kumbukumbu aliyonayo nyumbani kwake, ana mpango wa kuiweka wazi kwa hadhira? Sent using...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
A former member of the royal staff has opened up about what the relationship between Princess Margaret and Queen Elizabeth was really like. In her memoir Lady in Waiting: My Extraordinary Life in...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
BARAZANI: Kupaa na kuanguka kwa Husni Mubarak (1928-2020) Na Ahmed Rajab JUMATANO, Oktoba 14, 1981 mara tu baada ya kuapishwa kuwa Rais mpya wa Misri, Husni Mubarak aliingia ndani ya ofisi ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
THEKLA MCHAURU MWANAMKE WA KWANZA KUWA MWALIMU NGAZI YA CHETI KUSINI MWA TANZANIA. Ni huko kusini mwa Tanzania maeneo ya Masasi, ambapo inapata kusimuliwa kuwa kwa kipindi chote cha Ukoloni...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Kunusurika kwenye ajali, siyo jambo jepesi na ni wale wenye bahati ya kipekee tu ndiyo wanaoweza kunusurika, yaani ajali mbaya imetokea, watu kibao wamepoteza maisha lakini wewe ukatoka ukiwa hai...
9 Reactions
16 Replies
5K Views
KUHUSU miradi ya ujenzi aliyokuwa ameanzisha, mfalme mwenye kujulikana sana alijisifu hivi wakati mmoja: “Kwenye ukigo wa Babiloni nilifanyiza ukuta wenye nguvu katika sehemu ya mashariki...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
HIVI NDIVYO SHEIKH HASSAN BIN AMEIR ALIVYOWEZA KUIINGIZA DAAWAT – UL – ISLAMIYYA BURUNDI KUSAIDIA UKOMBOZI DHIDI YA UKOLONI WA WABELGIJI Kwa miaka mingi historia ya Sheikh Hassan bin Ameir...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
  • Closed
Ilikuwa siku ya ijumaa tarehe 21 Februari 2020 kiasi cha saa 4 usiku kwa saa za Malaysia wakati Mhe Balozi Asha Rose Shaaban Mtengeti-Migiro aliponipigia simu kutaka kuzungumza na mimi kuhusu...
8 Reactions
17 Replies
3K Views
Ilikua mwaka 1991
8 Reactions
22 Replies
7K Views
Kwa hisani ya DW Masuala ya Jamii Ujerumani ilivyoanza historia ya magari Historia ya gari ilianza 29 Januari 1886, pale mhandisi Carl Benz kutoka Mannheim alipowasilisha ombi la kupatiwa kibali...
3 Reactions
6 Replies
4K Views
SHEIKH SULEIMAN TAKADIR NA BENARD MEMBE ''WAKOROFI'' NDANI YA TANU 1958 NA CCM 2020 Ilikuwa baada ya L'Asr siku nilipokwenda nyumbani kwa Sheikh Haidar Mwinyimvua katika wanachama wa mwanzo wa...
5 Reactions
23 Replies
6K Views
Umuhimu wa Tanzania strategically: 1) Ni nchi muhimu kwa waarabu (Misri na Sudan Kaskazini) kwasababu sehemu kubwa ya ziwa Victoria iko TZ na sehemu kubwa ya maji ya mto Nile yanategemea ziwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
UMUHIMU WA KUMBUKUMBU NA NYARAKA ZA SYKES KATIKA KUIJUA HISTORIA YA MWALIMU NYERERE, TAA NA TANU (2) Ndani ya nyaraka hizi nikasoma historia ya Kasella Bantu katika ujana wake akiwa masomoni...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom