Jukwaa la Historia

On JF:

Mwonekano wao kwa baadhi ya watu ni kama huu hapa chini
6 Reactions
134 Replies
45K Views
Kwa kawaida, Kambona alijua au alikuwa amearifiwa mapema kuhusu maasi ya Dar es Salaam katika vitengo vya usalama vya Tanganyika na maafisa wa Kiingereza ambao bado waliitumikia Serikali ya...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
ABDULWAHID SYKES KATIKA "THE MAKING OF TANGANYIKA" NA JUDITH LISTOWEL Maggid Mjengwa: Judith anaeleza pia kushindwa kwa Abdul Sykes kwenye kugombea urais wa T. A. A. Jambo hili ningependa Mwalimu...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
KITABU CHA JUDITH LISTOWEL ''THE MAKING OF TANGANYIKA.'' Katika vitabu vyote vilivyopata kuandikwa kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika na historia ya TANU, kitabu kilichokaribu na ukweli...
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu Wasalaam? Naomba kujua historia ya hii picha maana nimekuwa naona tu mitandai naomba kujua;- 1. Huyu mtoto anaitwa nani? 2. Na kwanini anaonekana kafungwa minyororo? 3. Alikuwa raia wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimeishi Uingereza kwenye mji mmoja unaitwa Cardiff ambao ni mji mdogo ulioko Wales na kwa kawaida kwa Waingereza watu wa Wales wanadharaulika wanaonekana washamba. Neil Kinnock alipata kugombea...
20 Reactions
89 Replies
11K Views
MY LIFE MY PURPOSE KUMBUKUMBU ZA RAIS BENJAMIN WILLIAM MKAPA Rais Mkapa ameandika kitabu cha historia ya maisha yake na ni historia ya Tanzania na kwa hakika ni historia inayoanza wakati wa...
8 Reactions
23 Replies
7K Views
Hii picha ilipigwa wapi, namuona Bobby Marley, Thomas sankara, Nelson Mandela, Muhammad Ali, Nkrumah na wengineo cjui kina nani Nyerere sijui hukuwepo
1 Reactions
43 Replies
12K Views
Hii ni bendera wakati tuko chini ya Wajerumani 1885-1919 Flag of Deutsch-Ostafrika (1885-1919) Hii ni wakati tuko chini ya Mwingereza 1919-1961 Flag of Tanganyika (1919-1961) Hii ni...
4 Reactions
88 Replies
35K Views
Naongea kwa msisitizo sasa dawa ina chemka sasa ni wakati mwafaka wa kuwa na chama kimoja tu.Narudia dawa inachemka Tumechoka makelela na majukwaa yasiyokuwa na tija kwa taifa. Wanawake...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
unaweza kuwa unajiuliza nini kilipelekea mpaka zaire ikaanguka ?, sababu wengi wanayoijua ni laurent kabila kusaidiwa na rwanda na uganda,lakini anguko la zaire lina mengi, kwa kuanza nitaelezea...
18 Reactions
46 Replies
9K Views
Vikosi vya NATO vilimuondoa madarakani kwa nguvu za kijeshi kwa madai kua alikua anawaua wananchi wake kwa kuwashambulia kwa ndege,mmmh! Hivi wao ni wasafi na wana uchungu sana na bara Afrika...
5 Reactions
34 Replies
6K Views
HOTUBA YA MWISHO ALIYOIANDIKA QADAFFI QADAFFI ANAANZA HIVI: "Kwa jina la Mwenyezi Mungu (Allah), Mungu mpaji, na mwenye rehema.... Kwa miaka takribani 40 ama ilikuwa zaidi sikumbuki...
9 Reactions
57 Replies
12K Views
OMAR AL-MUKHTAR, SIMBA WA JANGWANI ANAYE TAZAMWA KAMA BABA WA TAIFA NA MWASISI WA TAIFA LA LIBYA, NI KIONGOZI ANAYE HESHIMIKA MNO ULIMWENGU WA KIARABU. Na. Comred Mbwana Allyamtu. Tuesday...
4 Reactions
9 Replies
4K Views
Shajara ya Mwana Mzizima MWAMVUA MRISHO: MWANAHARAKATI ALIYEKUWA ANASUBIRIA ‘U—FIRST LADY’ Na Alhaji Abdallah Tambaza JUMA lililopita, Shajara ilimwangazia aliyekuwa Mjumbe wa Halmashauri Kuu...
6 Reactions
6 Replies
4K Views
Hii Ni sera ya kiulinzi ya taifa la israel na jeshi lake ambayo inasisitiza na kutamka wazi kuwa ikiwa Israel itashambuliwa na aui na hapohapo marafiki zake wakubwa kama USA uk German Italy France...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Utamaduni wa kutengeneza vitenge kutumia wax ulianzia Indonesia katika kisiwa cha Java. Vitenge vilitengenezwa kwa kutumia kitambaa cha batiki. Wax ya nyuki ilipochanganywa na rangi za nguo...
8 Reactions
18 Replies
7K Views
Bongo Hapo Zamani: NYERERE ALIPOONGOZA KIKAO KILICHOIUA TAA NA KUZAA TANU Kwenye kichumba kidogo kisichokuwa na hewa ya kutosha, Julius Nyerere alikaa kwenye kiti chenye meza. John Rupia alikaa...
2 Reactions
31 Replies
6K Views
SHAJARA YA MWANA-MZIZIMA: Buriani Mwalimu Wetu Bi ‘Maalima’ Bahiya Na Alhaji Abdallah Tambaza JUMAMOSI ya Oktoba 19, mwaka huu, itabakia kuwa siku ya huzuni kubwa sana kwa umma wa Kiislamu wa...
11 Reactions
74 Replies
10K Views
Back
Top Bottom